Hatimaye Zantel wamestukia uchakachuaji

dah.me nilijua nimeguswa peke yng..kumbe wako wengi.ili tuchukulieni poa.watanzania wengi ndo 2livyo.tuna ubinafc.
 
dah.me nilijua nimeguswa peke yng..kumbe wako wengi.ili tuchukulieni poa.watanzania wengi ndo 2livyo.tuna ubinafc.

umesema kweli. tatizo wamesahau maana ya 'where we dare talk openly' sa kwanini ufiche? kimsingi mi mwenyewe imenichoma kwani kunawatu walitaka tuwapm ili watupe maujanja PM zao zikawa zimeblock, wakaunblock lakini pm zetu zikatupwa kapuni.
so vizuri tushee.
this is jamiifurums.

n way so issue zikipatikana nyingine tupeane so ubinafc
 
Jamani sikuweka siri hii kitu, nadhani katika watu walowahi ku post jinsi ya ku chakachua hapa ni mie and my post was never seen again, sasa lawama za nani, zangu au kwa alie delete,
 
ubarikiwe sana kwa nia yako. Kuliko huyn jama @kitreala2m anatushisha tujadili kitu ambacho hatukijuwi yeye alifanya ni siri.

binmgen, its nt as u thnk, ungekuwa unajua how hard t is kumpatia kila m2 usingesema nimefanya siri. Ebu muulize mganyizi atakujibu.
 
jaman zikipatikana co kuziweka hadhar tena! Unam PM mtu then nae anasambaza...ukizianika c watablock tena! Lets jst b patient.
 
umesema kweli. tatizo wamesahau maana ya 'where we dare talk openly' sa kwanini ufiche? kimsingi mi mwenyewe imenichoma kwani kunawatu walitaka tuwapm ili watupe maujanja PM zao zikawa zimeblock, wakaunblock lakini pm zetu zikatupwa kapuni.
so vizuri tushee.
this is jamiifurums.

n way so issue zikipatikana nyingine tupeane so ubinafc

Pole mkuu... Nadhani hamna ubinafsi kwenye hii kitu kumbuka huu tunaofanya ni wizi hivyo uwezi weka vitendo vya wizi hadharani, pamoja na njia unazotumia kuiba, kumbuka hapa JF wanaingia watu wengi wakiwemo wa fanyakazi wa Zantel... unajua kwa nini hizo Proxy wamezidelete? ni baada ya kugundua kuwa watu wanawaibia kwa kuzitumia na wamejua baada ya baadhi ya watu kuanza kutangaza hovyo uko mitaani kuwa wanatumia huduma ya zantel bure!
 
Ninyi hamjashtukia hapa hapa jamvini kuna jamaa wanapita kuchukua maujanja na wanaripoti ofisini thats y hawa jamaa wanagundua.Sasa chakufanya ni kufanya ubunifu wa hali ya juu katika TRY n ERROR mpaka kupaka njia mbadala.:hand:
 
Back
Top Bottom