Hatimaye Zantel wamestukia uchakachuaji

Ally Msangi

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
608
120
Ule mpango wa uchakachuaji ulokuwa umekithili katika watumiaji wa moderm za zantel sasa umefikia kikomo, jamaa wamesha gundua na wame block zile prox number za bure, i mean ths proxy

user = @zantel.tz
PORT Proxy dsn
=10.1.2.5
=8.8.8.8

hazifanyi kazi tena, labda zipatikane nyingne,
 
mzee unatuonesha shuka wakati kumeshakucha?hii issue jamaa wangu wa karibu hakunipa haya maujanja.he told kuna jamaa anafanyaa na anataka cash..Ila frm beggining i alwys knew ni settings 2 hizo.thnks 4 da info
 
we ni ****..sa hv ndo unajifanya unaanika proxy number hapa!chapika kule!
 
Quite unfair unatueleza sasa ili iweje unaonesha ubinafsi sana kaka, thats weakness!!!
 
mmh nah soona am gonna generate new proxy sasa ni wao 2 kukaa tayari caz DNS naweza ku2mia hata hzi hizi 2..
 
Ule mpango wa uchakachuaji ulokuwa umekithili katika watumiaji wa moderm za zantel sasa umefikia kikomo, jamaa wamesha gundua na wame block zile prox number za bure, i mean ths proxy

user = @zantel.tz
PORT Proxy dsn
=10.1.2.5
=8.8.8.8

hazifanyi kazi tena, labda zipatikane nyingne,

Poa! zikipatikana tupeane taarifa ili tuweze kusaidiana kuleta ktk maisha haya magumu ya mtanzania. Shukran kwa taarifa!!
 
Samahani kwa wale ambazo walinitumia pm na siku wajibu, kwani nilikuwa matatani kuhusiana na hii ishu, soon nitakuja na nyingine. wote mlio ni PM nitawatumia trick mpya.
 
Samahani kwa wale ambazo walinitumia pm na siku wajibu, kwani nilikuwa matatani kuhusiana na hii ishu, soon nitakuja na nyingine. wote mlio ni PM nitawatumia trick mpya.
ubarikiwe sana kwa nia yako. Kuliko huyn jama @kitreala2m anatushisha tujadili kitu ambacho hatukijuwi yeye alifanya ni siri.
 
Samahani kwa wale ambazo walinitumia pm na siku wajibu, kwani nilikuwa matatani kuhusiana na hii ishu, soon nitakuja na nyingine. wote mlio ni PM nitawatumia trick mpya.

Mh! hizo ni siasa tuu. siku zote ulikuwa wapi usiseme hadi leo topic hii imeanzishwa ndso unasema sorry!!
 
asa ameweka za nn hzo proxy number wakat teyar zmctishwa,, tulivyokua tunaomba alikua hatuoni??????
 
@moulaa yaan kaniboa balaa! Ngoja mi ni mmojawapo walom PM mganyiz 2subiri 2one!
 
Mh! hizo ni siasa tuu. siku zote ulikuwa wapi usiseme hadi leo topic hii imeanzishwa ndso unasema sorry!!

Siasa zinaingiaje hapa? Mkuu niliwaaambia wanitumie PM (nilipata PM nyingi sana)na baadhi ya wale walionitumia niliwapa hizo trick kabla ya ishu kushtukiwa
 
asa ameweka za nn hzo proxy number wakat teyar zmctishwa,, tulivyokua tunaomba alikua hatuoni??????

Mkuu, punguza hasira, hapa tunagawana maarifa na vitu kama hivyo kama ukubahatika kupata hizo proxy mapema pole, na tulia wakati zinatafutwa nyingine.
 
@moulaa yaan kaniboa balaa! Ngoja mi ni mmojawapo walom PM mganyiz 2subiri 2one!

Mkuu, hakuna sababu ya kuboreka, kumbuka kinachokifanya siyo kitu halali hivyo ukiweka hadharani kwa njinsi mnavyotaka ndio mambo yana haribika...
 
@mganyizi,co ww uloniboa mkuu,ila hyu alojifanya anaeka proxy number saa hz peace mkuu!
 
Back
Top Bottom