Profesa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 905
- 624
Nimegundua hivi karibuni wadau sina limits tena za kusubiri wikinndio ni recharge Moderm yangu. Ingawa sipati zile 2G kama mwanzo, ila sijaona shida kwenye matumizi, inachukua karibu wiki kwa 500MB ninazopata kwa kiasi cha shs kama 7000. Ninachofurahia ni speed! Ile ya 2 GB wadau vipi mmeipatia jibu?