Hatimaye yametimia walimu kucheka huu ndiyo waraka mpya.

Kijana,unazungumzia Gross salary au take home?
Msipeane matumaini kwa kusoma maandishi tu.
Mara nyingi utekeleza wa bajeti za serikali hii huwa ni less than 50%.
Karatasi za aina hii hawajaanza kuandika leo.
 
kekundu kekundu !wajinga ndiyo waliwao hapo sasa walimu watajiita ccm B we subiri
 
Jaman naomba kuuliza waraka huu unawahusu walimu walioajiriwa mwaka huu?? coz naona kama unawahusu wale ambao walikua na matatizo katika kupanda madaraja wa miaka ya nyuma
 
kwelii!nimesoma vyote lkn siiamin serikali yaccm kufanya hili!hii kitu ni manmade.....!
 
Huu Waraka ni wa uongo, Katibu Tawala hana mamlaka ya kutoa waraka wa mishahara badala yake ni Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi.

Kitu cha ajabu tena imesainiwa kwa niaba na imetoka mkoa wa Kilimanjaro, hakunaga kitu kama hicho kwa document sensitive kama waraka wa mshahara, unless useme ni tafsiri ya waraka, japo pia huruhusiwi kuutafsiri waraka kwa mtindo huu mana unaweza poteza maana kwa watumiaji wengine esp Wakurugenzi wa Halmashauri ambao wanawalipa Walimu mishahara.

Ninachofahamu mimi ni kuwa waraka wa mishahara kwa mwaka 2013/2014 bado serikali haijautoa, na ukitoka kazima autoe Katibu Mkuu ofisi ya Rais Management ya Utumishi wa Umma ( Ndg George Yambesi).

Plz tupate ufafanuzi zaidi, huu waraka ni wa nini.
 
Huu waraka ni valid nyaraka zote zinazotoka TAMISEMI huandikwa na katibu tawala mkoa husika na aliyesaini kwa niaba ni Afsa Elimu mkoa(REO) hebu jaribu kupitia nyaraka zinaxokuja mashuleni zote zina mfumo huo. Halafu walimu masuala ya mishahara, madaraja nk hutoka TAMISEMI sio utumishi. Walimu ni waajiriwa wa local gvt sio serikali kuu, mwajiri wao ni mkurugenzi wa hslmashauri husika sio katibu mkuu
 
Wakuu kilichopo hapa ni 'MAPENDEKEZO YA MISHAHARA MIPYA KWA WALIMU' yaliyofikiwa katika kikao cha pamoja kati ya wakurugenzi na TAMISEMI. Mnachokiona ni 'BARUA' kutoka TAMISEMI kwenda kwa Makatibu Tawala waliotakiwa kufikisha nakala kwa Wakurugenzi na wadau wengine. Mapendekezo hayo yanaenda Bodi ya Mishahara, kama watayakubali watayapendekeza UTUMISHI yakikubaliwa ndio yatafanyiwa kazi. Lakini tujiulize uhalisia wa kukubalika kwa mapendekezo hayo na athari zake kwa watumishi wengine, kama Serikali leo hii inaamua kumlipa mwalimu wa 'cheti' ambaye kiuhalisia ni Form Four Failure {Waliopata Div 4} Mshahara wa Laki 5 plus {TGTS D} sawa na Degree Holder katika kada nyingine {ukitoa Madaktari na wanasheria} , IS IT REAL APPLICABLE? WATUMISHI WA KADA NYINGINE WATAKUBALI?
Ndugu zetu walimu msiwe moved sana, hii ni MOVIE IN THE MAKING!
 
Huu waraka ni valid nyaraka zote zinazotoka TAMISEMI huandikwa na katibu tawala mkoa husika na aliyesaini kwa niaba ni Afsa Elimu mkoa(REO) hebu jaribu kupitia nyaraka zinaxokuja mashuleni zote zina mfumo huo. Halafu walimu masuala ya mishahara, madaraja nk hutoka TAMISEMI sio utumishi. Walimu ni waajiriwa wa local gvt sio serikali kuu, mwajiri wao ni mkurugenzi wa hslmashauri husika sio katibu mkuu

Mkuu walimu ni waajiriwa wa Wakurugenzi, lakini 'MAMLAKA YAO YA AJIRA NA NIDHAMU NI TSD AMBAYO NI SERIKALI KUU' ndio maana hata post zao hazitangazwi na TAMISEMI, wanapandishwa vyeo na TSD Mkurugenzi hawezi kubadili mishahara bila idhini ya UTUMISHI. Mwenye Jukumu la kusimamia MIUNDO NA VIWANGO VYA MISHAHARA YA WATUMISHI WOTE NCHINI NI UTUMISHI, wao wakisema HAPANA hakuna marekebisho yatakayofanyika.
 
Waraka huo unaweza ukawa ni wa ukweli au wa kubumba hayo yote ni majibu na kwa vile uhalisia utajidhihirisha mwaka wa fedha mi naona tuipokee taarifa kama taarifa nyingine tu.
 
Waraka huo unaweza ukawa ni wa ukweli au wa kubumba hayo yote ni majibu na kwa vile uhalisia utajidhihirisha mwaka wa fedha mi naona tuipokee taarifa kama taarifa nyingine tu.

Sina hakika kama watakuba kama hata kutupandisha madara waalimu tulio ajiliwa 2009 bado hadi leo harimashauli zingine!
 
Back
Top Bottom