Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 797
- 929
Huu ndio waraka mpya,hauonekani vizuri kwa sababu nimetumia simu, ilikuwa ni kwenye ofisi za watu.
Kwa ufupi wamerekebisha waraka wa 2002 ambao serikali imekiri kuwa ulikuwa na matatizo mengi, kwahiyo wametoa waraka mpya ambao madaraja ya walimu yatabadirika aliyekuwa TGTS C ataenda TGTS E, aliyekuwa TGTS D ataenda TGTS F, kwahiyo utaona wanarusha madaraja mawili .
Pia umesema hakuna malimbikizo yatayolipwa kutokana na waraka huu..
Pi walimu wa Sayansi wameongezewa vidato vitano kwenye madaraja yao.. yaani TGTS F5 kwa mwalimu wa sayansi mwenye degree anayeanza kitu kama 850,000/= au zaidi sina uzoefu sana na haya mambo ila wakongwe wanajua.