Hatimaye WANAWAKE walalamikia MBINU ZA UZAZ WA MPANGO

Mi nimekuwa hesitant kutumia hizi dawa...hivyo sijawahi kutumia maishani...na hizi shuhuda ndo kabisa zinaendelea kunitisha.

Na nimeweza kuwa na idadi ya watoto niwatakao (wawili) na ku enjoy sex life...maana nasikia hizo dawa zinaondoa hamu kabisa.
 
Si kila kitolewacho bure ni kweli ni bure...someone somewhere is paying for it.
Kuna pharmaceutical industry duniani inayogawa dawa bure???? Hata za HIV si za bure someone is paying. And paying very high price kwani hivi ni kati ya viwanda tajiri sana duniani.

Kwa hiyo matangazo ni muhimu ili watumiaji watumie na mwenye dawa aendelee kulipwa.

Nimeelewa , ila mie nilimaanisha kuwa zikifika huku zinatolewa bure kwa kina mama/dada
 
Back
Top Bottom