Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

mkuu hizo ni college mbili tofauti kabisa, social science ni college inayojitegemea na pia humanities ni college inayojitegemea. na wadau wengine naomba muelewe hilo. mdau aliyeleta hii thread yuko sahihi kabisa. Tayari wanafunzi wote wameshaondoka katika eneo la chuo na kwa kweli hali ni shwari kabisa, waandishi wa habari mbalimbali wapo hapa wanakusany taarifa mbalimbali

ndugu tutabishana hadi asubuhi hiyo inaitwa college of humanities and social sciences ambayo inaundwa na schools mbili, moja ni school of social sciences na ya pili ni school of humanities naomba kuanzia leo uelewe hivyo. Na principle (mkuu wa college) hiyo ni pror. rubagumya wakati kila school inaongozwa na ma deans wawili. prof. madumula ni dean wa school ya humanitiea wakati prof. mwamfupe ni dean wa school of social sciences. Natumai mpaka hapo utakuwa umenielewa.
 
Pole sana social & humanities,nawatakia safari njema mnapoondoka kuelekea nyumbani mungu atawajalia na kija jema.Tuombe mungu wa rehema awasaidie na wale walio fukuzwa chuo ili waweze kusamehewa au wapate nafasi pengine.May jesus bless all student succed what they demanded in your blood i blieve.na iweka mikononi iyo serikari dharimu uweze kuwapa uwezo kufikiria upya masuala ya kielimu kwani wanagombania posho na kusahau watoto wako wasio na hatia.Wajalie nguvu wachache wenye moyosafi na wazalendo wanaotetea haki na maisha ya mafukara kama "Zito" ingawaje wanapo jaribu kufanya ivo wanatishiwa,wanaonewa na kudhubu kuwaziba midomo. Mungu ulitusaidia,ukatuletea viongozi wazalendo kama nyerere wakatuondolea wakoloni weupe tunakuomba utusaidie tena kiongozi atakaye ondoa hawa wakoloni weusi. Nikiomba na kuamini kwa jina la yesu. Ameni. Mungu ibariki Tanzania
 
Jamani, tuache ushabiki katika hili. Mimi nina mdogo wangu namsomesha na wala hapewi huo mkopo na hata mgomo hakushiriki. Angegoma ili iweje wakati hakupewa hata 0%? Lakini nimempokea jana sababu; samaki mmoja akioza wote wameoza!!! Yeye ameniambia na usiasa umo katika kufukuzwa kwao. Katoa mfano, kuna kaka mmoja alikuwa mwaka wa tatu na hasomi college moja nae ila amefukuzwa. Why?? Sababu kuna siku alishabikia chadema!!!!! this is very unfair kwa huyo kijana. Na kwa wanaojilipia si ni usumbufu huo?? Je kwani madai yao ni ya msingi au sio? Je Waziri Mkuu na waziri wa elimu waliwaahidi au? Kwanini wasitimize ahadi zao?? Anasema kuna barua ilipelekwa chuoni kuwa watakaoenda ni waliokuwa wanaenda na hata waziri wakati anajibu kuwa field wataenda ni kwa wale waliokuwa wanaenda. Mi nimeshangaa sana, UNAMNYIMA MTU WA IT FIELD UNAMPA ANAYESOMA KISWAHILI????? Nimechoka mwenyewe
 
Leo hii baadhi ya wanafunzi wanaosoma mathematics mwaka wa kwanza na wale wanaosoma statistics(takwimu)mwaka wa kwanza wameamrriwa kuondoka hapo chuoni kabla ya saa tisa mchana, hiii ni baada ya wanafunzi wenzao kukubali kusitisha mgomo ilihali bado hawajapata suluhisho la matatizo yao. Wale walio komalia kupata field ndo hao waliotimuliwa.
@me:hivi kweli kuwafukuza hao wanafunzindio suluisho muafaka? na hao walio baki chouni ndo wameridhika na ha ya kutokuwa na field? Lazima ifike mahali ambapo kila mtu hususani msomi kutambua haki na wajibu wake ili kujenga taifa linalo wajibika, hawa waliorudi nyuma hawakujitambua mapema kwani haikuwa na maana kwao kugoma na kusitisha mgomo wakati walichogomea hawajakipata, naweza kusema hawana maamuzi na kama ndivyo tuwaite wavunja amani kwa hawajui walichogomea.
 
Jamani, tuache ushabiki katika hili. Mimi nina mdogo wangu namsomesha na wala hapewi huo mkopo na hata mgomo hakushiriki. Angegoma ili iweje wakati hakupewa hata 0%? Lakini nimempokea jana sababu; samaki mmoja akioza wote wameoza!!! Yeye ameniambia na usiasa umo katika kufukuzwa kwao. Katoa mfano, kuna kaka mmoja alikuwa mwaka wa tatu na hasomi college moja nae ila amefukuzwa. Why?? Sababu kuna siku alishabikia chadema!!!!! this is very unfair kwa huyo kijana. Na kwa wanaojilipia si ni usumbufu huo?? Je kwani madai yao ni ya msingi au sio? Je Waziri Mkuu na waziri wa elimu waliwaahidi au? Kwanini wasitimize ahadi zao?? Anasema kuna barua ilipelekwa chuoni kuwa watakaoenda ni waliokuwa wanaenda na hata waziri wakati anajibu kuwa field wataenda ni kwa wale waliokuwa wanaenda. Mi nimeshangaa sana, UNAMNYIMA MTU WA IT FIELD UNAMPA ANAYESOMA KISWAHILI????? Nimechoka mwenyewe
kuhusu kufukuzwa uku wakihusishwa na chadema nilishasema kupitia thread ya SIASA NA UDINI imetumika kuwafukuza wanafunzi udom kwani ni ukweli mtupu.
 
We mwehu una data zozote kuwa ni kweli wan udom walmchangia jk,au we ni mmojawapo ya waliopotoshwa
 
Lema alionekana chuoni usiku akiwashawishi wagombe, na wao wamesikia mawazo ya MAGWANDA, sasa wacha sie tuwasaidie hapo hakuna unyama wowote, wamejitakia wao wenyewe kwa fikra mgando za kuwasikiliza CDM
GeniusBrain, bila shaka haukuwepo kwenye hayo mazingira. Jamani tuache kuwazushia watu. Huyo Lema unayemsema sio Lema mbunge. Ninachofahamu hapo chuoni kuna kiongozi wa wanafunzi anaitwa Lema. Yawezekana aliyekuambia hakukufafanulia hilo.
 
kila k2 wao ni chadema 2,shame on there face.
 
Doubt!!! Hv Kumbe Tz hii bado kuna vziwi,vpofu,bubu ka wewe.Yan wenzio 2mezbua mackio tunackia saut zikisma hak inapatka,2mefungua macho 2naona haki na inapopatkna,2mefungua midom na ndimi z2 zinatamka saut za kuleta haki. AMKA!!! au wataka baki umelalia haki? waTZ wa leo 2nasema 'people's power'.
 
Tatizo lao walitakiwa wachanganye zao na za Mh. Lema kabla haajafanya decision.. sasa ona Lema alivyowaponza yeye anakula kuku kwa mrija. taarifa za juu kwa zinasema jamaa wamewachoka na mtakaa nyumbani mwaka mzima
Jamaa unaongea tu bilakuishirikisha akili yako.
 
Back
Top Bottom