Umenikumbusha kunji la UDSM 2007 tulivyogongwa kisha tukapewa 9Mukandara Principles ili uweze kurudi chuo...Tanzania bila migomo haiwezekani!
Acha uongo wewe. Prof Chachage waligomea mfumo uliokuwa unaelekea kuwabeba kina Prof Mshana akiwa kama Chief Admin ambaye ndiye aliyeongoza vikao vya kutowa tends ya kumpima na kumpendekeza. Katika hili hata Prof Luhanga alisimama pamoja na Prof Chachage na vijana wake Sussane Lyimo, Halima Mdee na Zitto ambao walipeleka mapambano hadi bungeni. Matokeo yake mchakato ukabaduloshwa na ndipo Prof Mukandala alipopata nafasi.Umenikumbusha mbali mkuu, Mkandara kaidiwa nafasi na rais wakina Prof.Chachage wakagoma kulingana na ile kampuni kuweka vigezo vinavyompendelea Mkandara.
Ni pesa zipi hizo walizoiba?Mbona inakuwa ni rahisi kuwaondoa wanafunzi kuliko hao akina Mulacha na kikula wanaoiba pesa ya chuo, wanaojenga majengo mabovu na kupokea mishahara miwili bila hata aibu?Au ndo maana akina Lowasa hawastuki na lolote kwa kujua ni nchi ya wabovu na waliowazima hawaondoki?
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma umekifunga chuo cha sayansi za jamii kuanzia leo na kuwataka wanafunzi wote wa college hiyo kuondoka chuoni hapo ndani ya masaa mawili kufuatia mgomo uliodumu kwa siku tatu.
Na wewe upo selfish kwa sababu hata siku moja hatujawahi kukusikia ukigoma kwa ajili ya matatizo ndani ya jamiiSiwalaumu kugoma for impact yao huonekana, hua nawalaumu how selfish wako
- huwezi ukisikia wanagoma kwa ajili ya matatizo ndani ya jamii..
Hivi kweli we ni genious brain? We ni Hopeless Taburalasa! Empty brain! Wasaidie dada acha ufataki!