Hatimaye timu ya africa yatinga fainali kombe la dunia

kajukeg

Member
Jul 22, 2010
39
0
Timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria jana usiku imefanikiwa kuingia katika fainali za FIFA za kombe la dunia baada ya kuifunga timu ya taifa ya Colombia bao moja kwa bila.

Nigeria sasa watacheza fainali tarehe moja mwezi August siku ya J2 na Timu ya taifa ya Ujerumani.

Naamini hizi ni Habari njema kwa wapenzi wa soka ukanda wa africa.

Mungu ibariki Africa, Mungu Ibariki Nigeria.
 
kweli wewe mwandishi wa habari,maana ulivyoandika kichwa cha habari mimi nilidhani soka kwa wanaume,na nilikuwa nataka kujua ni nchi ipi barani afrika na je kombe la dunia lishaanza au ndio imefanyiwa promosheni?
 
Kama kwa wanaume miaka 80 sasa imepita hata nusu fainali tu bado ndoto, bora tujivunie hata kwa heshima ambayo kina mama wametupa Africa.
 
Itakuwa mechi ngumu na wajerumani niliona game zao za semi jana ila wale korea wachovu sna sijiu walipitaje mpaka kufika semi..Beki mbovu na kipa cheche!..Wanaija wana msuli kweli.Final itakuwa more ubavu na kuliko technics.. so far 50% to all its anyone's chance to win.Kwa wanaume under 21 nadhan Ghana bado wanamiliki kombe hili la dunia!!
 
For sure game itakuwa taiti sana,ingawa wajerumani wana advantage mbili, kwanza uwenyeji utawabeba, pili historia katk mashindano hayo inawabeba pia.

but i hope wanaija wakikomaa, we are going to win the trophy.
 
Back
Top Bottom