Hatimaye serikali yasalimu amri-yaanza kuwalipa 'intern doctors'

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
baada ya chama cha madaktari tanzania(MAT) kuwaunga mkono madaktari walioko kwenye majaribio kazini(intern doctors) hatimaye muamala umeanza kusoma!wameanza kuwekewa fedha zao bank.
hivi ni kwa nini mambo hayaendi bila mgomo?
 
hongera kwa dr namala mkopi!specialists vijana mnatakiwa kuleta mabadiliko.
 
wabunge tu ndio hulipwa hata kabla ya sitting

wabunge wanakaa na kuunga mkono hoja halafu wanachukua chao.madaktari wanakesha na kujichoma na sindano halafu hawalipwi hata hiko kidogo ambacho ni haki yao.
 
hongera kwa dr namala mkopi!specialists vijana mnatakiwa kuleta mabadiliko.

meningitis teh,teh,....kumbe! Wakati mwingine jichanganye na watu wa mtaani na uongee kama wao ili usifanane na fani yako...LOL
 
meningitis teh,teh,....kumbe! Wakati mwingine jichanganye na watu wa mtaani na uongee kama wao ili usifanane na fani yako...LOL

nimezaliwa kitaa,nimekulia kitaa na nimesoma nikiwa mchizi wa kitaa.sioni haja ya kufichaficha uovu,sioni haja ya kuficha fani yangu!
 
Back
Top Bottom