Hatimaye serikali yaongeza 'boom' kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Hii mada ililetwa humu wiki almost tatu zilizopita.Nadhani ungelikuwa mzururaji wa humu ungeshaliona

Binafsi nadhani this is a political move.Kuhusu ukweli w hii kitu,nadhani tusubiri huo mwaka mpya wa masomo 2015/2016
 
Hii mada ililetwa humu wiki almost tatu zilizopita.Nadhani ungelikuwa mzururaji wa humu ungeshaliona

Binafsi nadhani this is a political move.Kuhusu ukweli w hii kitu,nadhani tusubiri huo mwaka mpya wa masomo 2015/2016
wiki tatu zilizopita?,wakati tangazo ni la tarehe 1/5/2015,fafanua mkuu?
 
Jamani maisha magum vyuon hum.. Nyongeza gan ya kizushi hiyo

shukuru hata kwa hiyo tu. wapo wanaosoma hadi mwaka wa mwisho wanajilipia kila kitu, na sio kuwa wanapenda ila ni kwamba wamekosa mkopo. so ukipata shukuru tuuuu kwa yote
 
...hivi uchaguzi ni mwaka gani ..? dadeki zao ccm wanatapatapa....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni reasonable amount kilichopo ni kujibana na kupunguza matumizi yacyo ya lazima kwa watakaonufaika na ongezeko hilo kwani lazima ukumbuke hyo pesa utairudisha watu huku tunalia na makato ya bodi ikiwa kiwango kilikuwa kdogo zaidi ya hicho kilichoongezwa N.B. Kadri wanavyoongeza ndo wanavyopandisha na kiwango cha marejesho baada ya ajira hvyo wajomba mcfurahie sana ongezeko la boom bali fikria kpnd utakachoanza kutengeneza maisha yako baada ya ckul nin kitatokea?
 
Ningekuwa mwanafunzi ningegoma gharama za maisha zishuke sio kuongezewa bum,
 
Kuna jamaa anadaiwa 29M halafu anamshahara mbuzi wa 2M wanamkata laki na sitini nadhan watamkata mpaka azeeke ndo deni lao liishe
Waambien Bodi ya mkopo wawapunguzien boom na serikali isubaidise wasomi ili waishi bila shida
Kwa hela hiyo mnayopewa mtaishia kuilipa serikali mahela kibao
 
Mi naona wakati mwingine tuwe tunashukuru japo kwa kidogo na sio kila kitu kulakamika
 
wakuu hivi kwa watu waliosoma chuo bila kupewa boom, wakiisha ajiriwa huwa hawakatwi hiyo hela ya heslb.
 
Back
Top Bottom