Hatimaye serikali yakosa pesa za kulipa mishahara ya wafanyakazi muhimbili-mnh

wew wwewe wewe wewe we.. yaani serikali inakuwa inatumia pesa zote bila hata akiba???
je ikitokea hao wanaolipa kodi wasilipe kwa mda unaotakiwa??
huu ni utawala mbovu sana
huwzi kosa hata akiba
Serikali haiwezi kukosa pesa ya mishahara kwani kila siku TRA wanakusanya; kama ni kweli jambo hili linaweza kuwa limechangiwa na mikopo iliyotolewa kwa Wabunge maana TShs. 90,000,000 X wabunge 350 = 31.5 billion zimetoka February 2011. Tuwe na subira kodi za mishahara ya February 2011 toka secta binafsi zitalipwa kabla ya tarehe 7/3/2011 na pesa ya mishahara yetu itapatikana tuu. Tuendeleze uhusiano mzuri na wenye maduka, wauza maziwa nk. ili wasisitishe bill
 
Back
Top Bottom