Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,466
- 113,543
- Thread starter
- #21
,Mkuu Pasco na Shalom,
Kwa kipimo halisi cha Mbunge - Kwa mtizamo wangu Halima Mdee bado sana - hajakomaa hata kidogo. Hawezi kujenga hoja na pia anao mtizamo wa kati kwa kila suala analolizungumiza (nimemwona mara kadhaa kwenye bunge na hata TV shows esp TBC)
Tusiwe mashabiki wa kupeleka vijana bungeni - tukaishia kupeleka "magarasha" - Nyinyi kwenye vyama vyenu mnafahamu ni vijana wapi wazuri ambao wanaweza kuleta tofauti.
BTW: Habari nilizonazo ni kwamba CCM wanamsimamisha Kippi Warioba kwenye jimbo la Kawe - huyu naye kwangu si mkomavu wa kutosha katika nyanja ya siasa na uchumi.
Obuntu na wengine ombao wako obsessed na age,
umri sio kigezo, bali uwezo, Mdee ni mbunge, Kipi ni Mhe. Diwani, unataka ukomavu gani tena huo?.
Julius Kambarahe aliongoza Taa akiwa late 20's akaunda TANU at 33 na kuchukua uhuru at less than 40!, sasa uzoefu aliutoa wapi?.
Vijana nendeni vijana, wakati wenu ni sasa!.