Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Wale ni waarabu bwana hawana longolongo wakiamua lakini kwetu bongo watu bado ni waoga lakini watu wameanza kubadilika altitude kidogo kidogo kama mambo yakiendelea hivi hivi.
Hii inaitwa Wikileaks revolution...bado kwetu sasa maana uongozi uliokuwa madarakani hauna tofauti hata kidogo na uongozi wa huyu jamaa aliyekimbia nchi.
It's thought that wikileaks may have been an inspiration to the discontented citizens!
Shusha jazba, he is the president of united republic of Tanzania.
Wananchi wa Tunisia wamesimama pamoja wakitaka rais wao a-risign. Je na sisi kweli tushindwa hili? Ni nini kinatuzuia?
source: BBC News - Tunisian protests: Tunis marchers urge Ben Ali to go