Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,395
- 92,721
Kufuatia nguvu ya umma Rais wa Tunisia leo amejitokeza hadharani na kuwaamuru polisi kutokutumia mabavu kupambana na nguvu ya umma, pia ameahidi uhuru zaidi kwa vyombo vya habari na raia watakuwa huru kutumia mtandao wa internet, na ametangaza road map kuelekea kuachia madarka kwa amani.
Source: deutschewell.de
Angalizo kwa watawala wa Tanzania: hakuna jeshi lolote dunia hii ambalo liliwahi kuishinda nguvu ya umma.
Rai yangu kwa JK inaonekana kuna viongozi wanajifanya wanakupenda kumbe nia yao wanataka maisha yako umalizie jela, waepuke watu hawa, nia yao kikweli si kulinda utawala wako bali wanataka ukimaliza muhula wako upelekwe the hugie kwa Ocampo kwenda kujibu kesi za uhalifu dhidi ya ubinadamu. bado unayo nafasi amuwa sasa.