Hatimaye PM Mizengo Pinda azuru kaburi la Mwl. J.K Nyerere

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu! Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na baadhi ya watoto wa Mwl. Nyerere kuwa toka awe PM. Hajawafi kufika butiama kijijini kwa mwalimu kwenda kumsalimu mama Maria Nyerere na kudhuru kaburi la Mwalimu. Hatimae jana amefika, kumuona mama nyerere na kudhuru kaburi.. Nawasilisha.
 
Kuzuru kaburi la Mwalimu bila kufuata aliyoiasisi Mwaliku haitamsaidia Pinda. Anachotakiwa Pinda ni kutubu na kuanza kufuata misingi ambayo Mwalimu aliiasisi (Azimio la Arusha)
 
... yaani kadiri kusogelea kaburi la Baba wa Taifa bila kuhakikisha haonekani kushabikia UFISADI, kuikingia kifua na wakati mwingine hata kuhiari kuitumikia ...!!!!!!!!!!!!!!!!

Ngoja balaaa hizo atazozivuna; kule kubwagwa mahakamani kule Arusha na sasa kuelekea kupoteza kiti cha Igunga vyote kwa pamoja bado ni cha mtoto tu.
 
Kuzuru kaburi la Mwalimu bila kufuata aliyoiasisi Mwalimu haitamsaidia Pinda. Anachotakiwa Pinda ni kutubu na kuanza kufuata misingi ambayo Mwalimu aliyoasisi (Azimio la Arusha)
 
Kwani aliyeko kaburin anaona?

Duh! watu wanaimani aisee?

Nyerere ni mifupa na yuko dongo kubwa hajui hata kuna nini huku anahangaika na madhambi yake huko aliko anajuta kwa kuasisi ubaguzi
 
Pia kuna tetesi kuwa ****** huwa hamuiti Mwl. Nyerere kuwa "baba wa taifa", huwa anasema Mwl. Nyerere!
 
PM ana sura ngumu utadhani mtegua mabomu!
Roho yake ni kama sura yake!
 
Pia kuna tetesi kuwa ****** huwa hamuiti Mwl. Nyerere kuwa "baba wa taifa", huwa anasema Mwl. Nyerere!

Hata mimi sijawahi kumuita, sintamuita na wanangu hawatamuita baba ila "Rais wa kwanza wa Taifa" kuna tatizo mkuu
 
Wakuu! Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na baadhi ya watoto wa Mwl. Nyerere kuwa toka awe PM. Hajawafi kufika butiama kijijini kwa mwalimu kwenda kumsalimu mama Maria Nyerere na kudhuru kaburi la Mwalimu. Hatimae jana amefika, kumuona mama nyerere na kudhuru kaburi.. Nawasilisha.

Ukiona hivyo ujue kaenda kutambika! si unajua ccm walivyo washirikina!
 
Kwani ukidhuri kabuli la Mwalimu Nyerere ndio inakuaje?
<br /> maliza kwanza chuo ukija uswaz ndio utajua, ama fasta jiulize mara ngap M7 amefika pale ama Mzee madiba? Watu mashuhuri kibao duniani wameshafika! Why PINDA?
 
Back
Top Bottom