Hatimaye Nimevunja mwiko...!

Mficha uchi hazai. Ili uwe mwanajamii lazma ujamiiane. We bana tu kitaota kutu.
 
Hongera sana Mpwa, wasikukatishe tamaa mwaya, hongera sana kwa kuwa "mchoyo" kwa mali zisizokuhusu! Hongera sana mko wachache sana wa jinsi yenu: Hivi ungekubali ungetuambia? mmmh karibu tule
 
Mficha uchi hazai. Ili uwe mwanajamii lazma ujamiiane. We bana tu kitaota kutu.
<br />
<br />
Hahahahaaahahaaaaaa, kuna ile kanuni ya kibaolojia nimeisahau kidogo ila inahusu "evolution" kwamba kama kiungo hakitumiki huwa mara nyingi kinaweza kudhoofika au kutoweka! stand to be corrected!
 
Habari jukwaa la starehe! Bwana me niko hapa kuwaambia senkyuu kwa maushauri yenu ktk post yangu ya mwisho..in dilema...! Mnaikumbuka? Nimemaliza field salama, matokeo yamekuwa poa, hakuna kijana alienipata kati ya wa3 waliokuwa wanatishia amani na elimu yangu na above all mkuu wa shule amenipa katempo mpaka nirudi chuo. UTU WANGU UMESITIRIKA NA ZAIDI STAF YOTE IMENISALUTE CUZ KILA MDADA ANAEKUJAGA HAPA LAZMA ALIWE ILA ME NIMEVUNJA MWIKO...! Idumu JF, zidumu fikra CHANYA ZA wana JF wote..

Waalichofanya wanaJF ni moja ya kazi zao.... so dont say thanks for ur right...............
 
Back
Top Bottom