Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Mkuu MMJ,

Naomba kusema hivi, this was not an easy thing yaani kupata hizi dataz, masahihisho yako ni kweli, na kama kawaida hatukuwa mbali na ukweli, tulichokosea tu ni kutofautisha state na street, na kama kawaida tunaendelea kupata more dataz:-

1. According to the dataz ni kwamba hakufariki siku tuliyoambiwa originally, ukweli ni kuwa alifariki Jumapili Usiku.

2. Alipotoka bongo, alikaa Hospitali mpaka mwezi wa pili ambako alitoka akiwa mzima kabisa mwenye afya njema, kwa hiyo muda wote huu amekuwa akiishi akiwa mzima na mwenye afya njema.

3. Katika siku za karibuni, alikutana na Mkono, kwa muda mrefu sana, ambako dataz zinasema alimkabidhi vifaa vyote vya uhakika, sasa hapa niweke wazi kuwa dataz zinadai waliokuwa na tatizo naye ni baadhi ya viongozi wa awamu ya tatu na sio ya nne, kwa hiyo vifaa alivyoviacha marehemu sio tu amepewa Mkono, kuna wengine pia waliopewa, dataz zinadai ni pamoja na muungwana!

4. Ni kweli atazikwa kesho na the dataz ni itakuwa kwenye makaburi ya The Heaven Of Peace, DC na ni kwa invitation only hakuna kuvamia.

Ninapenda kuchukua nafasi hii kutoa salaam zangu za dhati kwa familia ya Muganda, kutokana na kifo hiki ambacho kimetokea ghafla sana, na ambacho hakikutegemewa, na pia ninawaomba radhi pia familia hii ambayo kwa kweli ni my people na ninajua kuwa wasingependa habari hizi ziwe zimetolewa kwa wakati huu kutokana na sababu zao binafsi zinazofahamika na kukubalika, lakini I had to work very hard kuzipata hizi dataz kutoka kwenye independent lines,

ningezipata kutoka kwao nisingeziweka hapa, na pia zingine nimeamua kuzibakiza kwa kuheshimu privacy yao ambayo ninawapa heshima kwa kuweza kulinda habari hizi mpaka dakika ya mwisho, ninawatakia rehema ya Mungu iwafike katika hiki kipindi kigumu, hasa kwako Sister Anna, na wengine wote, now siasa ni one thing, lakini bado sisi ni bin-adam, na wakati utakapokuwa muafaka tutajadili zaidi the dataz na kwa kina,

Ninawatakia maombolezo mema na mazishi yenye amani, na Mungu amuweke mahali pema marehemu peponi, kwa kweli ninategemea familia hii wataturuhusu kuuweka ukweli unapotakiwa when the time is right kuhusiana na kifo hiki kwa sababu kutokana na dataz ninazozidi kuzipata kuna facts nyingi sana zinahitaji kuwekwa wazi ili ukweli na uongo ujitenge!

Ahsante Wakuu! Na JF Mbele Zaidi!
 
Mkuu ES,

Tumekusikia ila naona wengine macho yetu sasa mpaka yameziba kabisa maana michanga tunayorushiwa imezidi kiasi.

Sasa kama jamaa alikuwa na afya njema, je imekuwaje akafa ghafla? Je kajinyonga? Mtu wa Iringa huyo, huwa hawakawii kujitundika.

Sasa Fisadi kweli atamwachia data fisadi?

Nafikiri Ballali alikuwa ni hatari kwa muungwana kuliko Mkapa, maana waliofanya aumbuke ni akina JK na wala sio Mkapa.
 
Mzee Mwanakijiji katika ile thread ya Ballali Hatunaye kama sikosei alituomba tusubiri hiyo Ijumaa(kesho) baada ya maziko ambapo "Episode" nyingine inakuja...

Mwakilishi,

Ni Yesu na Muhammed ndio wakinena wamenena! Hakuna mwandishi au Bin Adam aliye infallible, ambae unaweza kukaa unasubiri neno lake litimie kama lilivyonenwa!

Lakini kama hivyo ndivyo unavyo amini, sikushawishi ubadili dini. Ulilosema hapo ni Agano la Kale la Mtume wako. Agano Jipya kalitoa muda mfupi uliopita:

Ok.. ngoja niingilie kati kabla halijaenda mbali na kuwapa Exclusive News tena:

Kitu ambacho naweza kukisema kwa uhakika wa asilimia 100 hadi sasa ni kuwa hakutakuwa na kuuangalia mwili. Familia na jamaa wa karibu waliuona mwili siku ya Jumanne usiku na kesho ni misa tu ya marehemu.

Kwa hiyo hata tukisema endelea kuiamini dini yako hiyo, inaoneka hujaielewa. Huifuatiliia vizuri.
 
Mkuu MMJ,

Naomba kusema hivi, this was not an easy thing yaani kupata hizi dataz, masahihisho yako ni kweli, na kama kawaida hatukuwa mbali na ukweli, tulichokosea tu ni kutofautisha state na street, na kama kawaida tunaendelea kupata more dataz:-

1. According to the dataz ni kwamba hakufariki siku tuliyoambiwa originally, ukweli ni kuwa alifariki Jumapili Usiku.

2. Alipotoka bongo, alikaa Hospitali mpaka mwezi wa pili ambako alitoka akiwa mzima kabisa mwenye afya njema, kwa hiyo muda wote huu amekuwa akiishi akiwa mzima na mwenye afya njema.

3. Katika siku za karibuni, alikutana na Mkono, kwa muda mrefu sana, ambako dataz zinasema alimkabidhi vifaa vyote vya uhakika, sasa hapa niweke wazi kuwa dataz zinadai waliokuwa na tatizo naye ni baadhi ya viongozi wa awamu ya tatu na sio ya nne, kwa hiyo vifaa alivyoviacha marehemu sio tu amepewa Mkono, kuna wengine pia waliopewa, dataz zinadai ni pamoja na muungwana!

4. Ni kweli atazikwa kesho na the dataz ni itakuwa kwenye makaburi ya The Heaven Of Peace, DC na ni kwa invitation only hakuna kuvamia.

Ninapenda kuchukua nafasi hii kutoa salaam zangu za dhati kwa familia ya Muganda, kutokana na kifo hiki ambacho kimetokea ghafla sana, na ambacho hakikutegemewa, na pia ninawaomba radhi pia familia hii ambayo kwa kweli ni my people na ninajua kuwa wasingependa habari hizi ziwe zimetolewa kwa wakati huu kutokana na sababu zao binafsi zinazofahamika na kukubalika, lakini I had to work very hard kuzipata hizi dataz kutoka kwenye independent lines,

ningezipata kutoka kwao nisingeziweka hapa, na pia zingine nimeamua kuzibakiza kwa kuheshimu privacy yao ambayo ninawapa heshima kwa kuweza kulinda habari hizi mpaka dakika ya mwisho, ninawatakia rehema ya Mungu iwafike katika hiki kipindi kigumu, hasa kwako Sister Anna, na wengine wote, now siasa ni one thing, lakini bado sisi ni bin-adam, na wakati utakapokuwa muafaka tutajadili zaidi the dataz na kwa kina,

Ninawatakia maombolezo mema na mazishi yenye amani, na Mungu amuweke mahali pema marehemu peponi, kwa kweli ninategemea familia hii wataturuhusu kuuweka ukweli unapotakiwa when the time is right kuhusiana na kifo hiki kwa sababu kutokana na dataz ninazozidi kuzipata kuna facts nyingi sana zinahitaji kuwekwa wazi ili ukweli na uongo ujitenge!

Ahsante Wakuu! Na JF Mbele Zaidi!

Tarehe tuliyoambiwa awali ya kufariki ni may 16 na wewe unasema sasa ni jumapili may 18!

Kwanini hao wanaotoa hizo taarifa waliamua kumuua kabla ya wakati (may 16) na baadae wakahairisha kifo chake hadi may 18...And then wana confirm kuwa alikufa may 18 ilipofika may 22 amabayo ni leo?

Halafu kama amekufa ghafla vipi kuhusu ule usemi kuwa alianza kuugua halafu akaanza kuacha wasia...And then ni mtu huru...Aliyekufa huru lakini ghafla kwa nyakati mbili tofauti?!(may 16 na 18 jumapili usiku)

Vipi kuhusu assumption kuwa alikuwa kwenye life support machine?
 
Hizi taarifa zinatoka kwa ndugu tofauti tofauti wa marehemu ama serikalini?
 
Dakika tano zilizopita nimefanikiwa kupata dataz za ukweli 100% kuwa kweli Balali, amefariki napenda kutoa pole kwa ndugu,

According to the dataz amefia Winsconsin State, katika Hospitali moja kwenye kitongoji cha mji wa Madison,

Na the more dataz ni kwamba kabla hajafa, alikuwa na masaa kama 24 ya siri kwa mazungumzo na Mbunge Mkono.......,

Mazishi ni kesho DC, nitarudi baadaye kwa dataz zaidi!

Ahsante Wakuu, na Mods Mnaeza kuiunganisha hii ikiisha expire!

hahaaaaa. ES umeniacha hoi ! yaani hukujua/hukuamini watu walichokuwa wakisema ? anyway... tupo pamoja !
 
Mkuu Mtanzania,

Sina sababu yoyote ya kuwayumbisha wananchi hapa, kwa sababu sijawahi hata siku moja sijawahi kuwayumbisha hapa wananchi an dataz zisizokuwa na ukweli, sasa mkuu wangu kama as far as this ishu ya kifo, niarudia kuwa ni kweli amefariki Jumapili usiku tena ghafla bila ya kutegmewa na atazikwa kesho kwenye hayo makaburi niliyoyasema.

Mkuu Kuhani,

Sijakuelewa ulichosema, kwenye ujumbe wangu wa jana nilisema kuwa hoja ya msingi niliyoiweka ilikuwa kwamba Balali hajafariki, na kwamba hakufariki Boston, na nikaweka all the reasons kwa nini ninaamini hivyo, na sasa imethibitishwa kuwa maneno yangu yalikuwa kweli kuwa hakufariki Boston, na wala hakuwa amelazwa kwenye Hospitali yoyote ya Boston,

Sasa hapa ni lazima niweke wazi kuwa wewe akili zako sio sawa mkuu kwa sababu unachotafuta ni cheap umaarufu, lakini hapa JF nafikiri unapaswa kuelewa kuwa unaanza kuchekesha, kwa sababu hoja huna, dataz huna, ukweli huna, facts huna, unajua watu wa aina yako huwa wana vichwa vikubwa sana lakini ndani hewa tupu, wewe kilichokuleta hapa JF ni agenda ya CUF, ukaamini kuwa watu hapa ni wajinga sana utawa-divide and rule, sasa unaona kila unachojaribu hakifanikiwi,

Wamekutuma uje hapa ujaribu kumuweka Salim vizuri ili labda agombee na CUF ambayo ndio the agenda hapa tuko macho na imar sana, sasa unaendelea kuhangaika hangaika, wewe ni mdini wa kiisilamu na unapenda sana waarabu, niasema hivi kuwaamusha wale ambao hawajakushitukia kuwa huna nia njema na hii forum, na ninakuhakikishia kuwa tutakukabili ipasavyo tena kwa lugha na vitendo unavyoonekana kuvielewa vizuri zaidi, hao waarabu waliokutuma waambie kuwa tupo macho mkuu!

JF mbele Zaidi!
 
Nasikia kanisa liko karibu na foggy Bottom orange/blue line na George Washington University huko DC
Wadau wanadai wamepiga simu huko kanisani lakini hawapokei simu kwa sasa...Namba ya kanisani wanadai ni 202 785 0982.
Pia website yake ni www.ststephenmartyudc.org.
Na pia website ya kanisa haina taarifa zozote za msiba wa Ballali
 
Field Marshall, ni vizuri ume come clean!

I wish you a quick recovery...

Kumbe ni 'De Vol', mi nimefikiria ni 'Devil' waswahili hapa walikuwa wanakosea spelling.
 
Na kama hayo mazishi ni private sasa hizi taarifa anapewa nani hapa?
Hao watu private si wamepewa mialiko private?
Sasa wanatuambia twende kwenye makaburi ya kanisani ama kanisani?
Na wanatuambia nini na wakati hawataki twende?
Ama ni mambo ya PR?
Watu wasije kwenda makaburini wakaambiwa no ni kanisani halafu wakirudi kanisani wanaambiwa tena NO rudini makaburini halafu wakirudi huko makaburini keshazikwa!?
Ama kweli ratiba hii private ni nzuri sana publicly
 
Mwili wake umehifadhiwa hapo, misa itakuwa kanisani st. steven, halafu mazishi Gate of Heaven Cemetery. ijumaa
 
Umesema "mwili umehifadhiwa hapo"..... hapo wapi? kanisani kwa mtakatifu stivini ama hapo kwenye makaburi ya lango la mbinguni?
Na kati ya hizo sehemu mbili za misa na maziko kuna driving distance?
Ama makaburi/kanisa na morgue yamo mumo kwa mumo?
Kutakuwa na movement yoyote?
 
Mkuu,

Kama kweli kaongea na Mkono basi kuna dalili kwamba labda huo ushahidi unaosemekana kaachiwa wakili maarufu labda kaachiwa Mkono. Kama kaachiwa mkono basi hatutasikia chochote maana Mkono mwenyewe ni fisadi.
 
you never know, kesho balali akafufuka ghafla na kuwaambia kuwa alikuwa anatania tu na kwamba watanzania hamna dogo!

LOL!...ingekuwa siku ya tatu kweli, hamna kufufuka baada ya hapo!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom