Hatimaye ndovu yaikamata tuzo

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
3.jpg

5.jpg
 
hehehehe!
aafu wee teteatete mbona kila nikiarenji tuonane tuzigide ndovu hizo unanikimbia?
UNAFANYA MAKUSUDI EEH?!
 
hehehehe!
aafu wee teteatete mbona kila nikiarenji tuonane tuzigide ndovu hizo unanikimbia?
UNAFANYA MAKUSUDI EEH?!

Mkuu tupange tukutane wapi ila ujipange kisawasawa!! mi nafuta kreti mbili za ndovu...
 
Mkuu tupange tukutane wapi ila ujipange kisawasawa!! mi nafuta kreti mbili za ndovu...
mimi hata saa hizi nishajipanga,we niambie tu ni sinza maeneo gani!leo nitakaa sana huko sinza kuna msiba wa jamaa angu...!
tukutane baa gani sasa?
 
Loo! weekend itakuwa poa tukutane pale Sun Cirro unaonaje si unajua kesho kazini mkuu!!
 
Ndio mambo wanayotumia kututia ujinga yaani wenyewe tumefurahi tumepata TUZO ukiuliza kwa nini ETI tunatengeneza ULABU bora kuliko wengine NDIO MAANA HATUENDELEI kazi yetu kuwaza viti virefu tu.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom