Hatimaye Nape afanyia kazi ushauri wa Maige

magistergtz

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
282
56
Baada ya Maige kumtuhum Nape kwa kushindwa kutimiza wajibu wake wa uenezi, hatimaye namwona nape kaanza kufanya kazi.

Nape ameanza kuiga staili za CHADEMA kwa kuzunguka nchi kueneza chama. Alianzia Dar sasa yuko Iringa.

Tofauti japo na mikutano ya CHADEMA, nape hukumbana na zomeazomea zaidi na hamna watu wa maana walio tiyari kuhamia ccm.
 
Nepi anasaka posho tu poyoyo huyo kabla ruzuku haijakatika 2015
 
Baada ya Maige kumtuhum Nape kwa kushindwa kutimiza wajibu wake wa uenezi, hatimaye namwona nape kaanza kufanya kazi.

Nape ameanza kuiga staili za CHADEMA kwa kuzunguka nchi kueneza chama. Alianzia Dar sasa yuko Iringa.

Tofauti japo na mikutano ya CHADEMA, nape hukumbana na zomeazomea zaidi na hamna watu wa maana walio tiyari kuhamia ccm.
547517_452449934782870_1771326452_n.jpg

mia
 
Back
Top Bottom