Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
mambo ya facebook haya
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu
zangu, hakuna linaloshindikana.
Nawasilisha.
manina wallahMtoa mada lazima utakuwa ni Ahmed Msangi. Tangu lini polisi wa bongo akawa great thinker. Karibia wote ni form 4 failures.
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
Nawasilisha.