Duh nimechelewa kanawe tena na mimi nile.Ndio unakiona leo? umechelewa jamvini karamu imeshaliwa!
Unanini babuwee, mie gozi orijino si gamba babuwee.
Hawaelewi heshima ya Dola na mahakama hawa, na wakiwachiwa watapandia watu vichwani. Waki-beep sisi tupige. Wasilete ubabe wa night club kwenye siasa.
Mbona kagoda hawakamatwi wamekula bilioni 40 zetu na bado wanapeta!
faizambea aya maneno ya magomen huku waleta ya nini? Ujue maneno ayo ni kielelezo cha kuishia std6 kwa kuwa waliwahi kukucheza!
Sauti yako kama ya Salma Kikwete vile, ka si wewe basi utakuwa nduguyeIlmu yangu huipati hata chembe, mwana hizaya usiyejuwa vibaya wee, si ya dunia wala ya dini wala ya ulimwengu. Halafu unaanza kuwakejeli watu wa Magomeni? huoni hata haya? na wao ndio walio kukaribisha Dar? una nini weye? Kuchezwa muhimu babuwee, mimi sio wa kichen pati.