Hatimaye mabumba umekuwa msamiati mpya

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Niko hapa Temboni Vijana wanajadili siasa zinzoendelea Bungeni, na kusikitishwa sana na kauli za Mabumba aliyoitoa kwa Mnyika, kiasi kwamba wanatumia jina hili katika ubishani kuwa wewe umeongea BUMBA kwa umoja MABUMBA uwingi ikimaanisha kuwa umeongea kitu cha ovyo au pumba.

Kwa namna hii bila shaka majina ya wanasiasa wanoongea MABUMBA watakumbukwa kwa MABUMBA yao.
 
Back
Top Bottom