Hatimaye luhanjo amedodoshwa ktk kinyang'anyilo cha makao makuu ya wilaya mpya ya wanging'ombe

Na mwingine wa kuongezea majimbo. Nadhani ingependeza za serikal iistopshe kuongeza majimbo na wilaya kwa miaka japo 10.

Majimbo yatapunguza huu upumbavu kwani kutakuwa na majimbo machache tu ambayo yatakuwa yanajihudumia yenyewe kwa kiasi kikubwa sana na kupunguza huu mzingo wa serikali kuu.
 
Back
Top Bottom