Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Nimefurahi sana baada ya Purchase kukamilika! Hii ni challenge kwa watanzania wenzangu wanaotumia Pirated Software kuendeshea Legal Office Activities. Nunueni vibali za hizo Tools jamani, ni jasho la watu hizo Software.
Software hii inaitwa Artisteer, ni kwaajili ya ku-automate Web Design & Development ambapo baada ya kutengeneza Website yangu in a "Design View" (and not hustling with Coding), ninaweza ku-export Website hiyo kwenye Platform yoyote kama vile WordPress, Joomla, Magento, WooCormmerce na zote unazozijua. Website inakuwa dynamic, responsive and SEO optimized.
Just awesome!