Hatimaye kilio cha mahabusu kimesikika!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Baada ya migomo kadhaa ya mahabusu iliyotokea magereza mbalimbali nchini,hatimaye serikali imesikia kilio chao na kuagiza uchunguzi wa kidaktari unatakiwa kukamilika ndani ya majuma manne.inavyoonekana sababu kubwa za kuchelewa kwa kesi ni kutokamilika kwa uchunguzi.habari kutoka wizara ya mambo ya ndani zinasema waraka maalum unaandaliwa kuhusu swala hilo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom