mjukuum JF-Expert Member Dec 8, 2014 5,257 2,826 Apr 5, 2015 #41 Kama kuna ambae alikuwa hajui kuhusu mallya pole zake dogo alitumwa
M mashingia kuute Member Jan 4, 2015 25 3 Apr 6, 2015 #42 Serikali imewasamehe hao. Nilitegemea kusikia Kikwete kamsamehe babu seya
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,662 19,880 Apr 6, 2015 #43 mashingia kuute said: Serikali imewasamehe hao. Nilitegemea kusikia Kikwete kamsamehe babu seya Click to expand... Unataka kilanja mkuu azimie.mama nanii ni ulikuwa mzigo mzito wa babu. swissme
mashingia kuute said: Serikali imewasamehe hao. Nilitegemea kusikia Kikwete kamsamehe babu seya Click to expand... Unataka kilanja mkuu azimie.mama nanii ni ulikuwa mzigo mzito wa babu. swissme
L lukelo sakafu JF-Expert Member Feb 19, 2015 2,939 517 Apr 6, 2015 #44 hongera sana mheshimiwa rais JK
M Mario Gomez JF-Expert Member Nov 1, 2011 778 523 Apr 6, 2015 #45 Mmh mi ninapita tu hapa ni hivi juzi wamepitisha sheria mpya ya makosa ya mtandao CYBER LAW yangu masikio bado sijamaliza course yangu ya masomo.
Mmh mi ninapita tu hapa ni hivi juzi wamepitisha sheria mpya ya makosa ya mtandao CYBER LAW yangu masikio bado sijamaliza course yangu ya masomo.