Hatimaye Kiiza Besigye atoroka Uganda

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
CwutH5DXAAAAn-V.jpg

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye ameitoroka nchi yake. Hayo ameyathibitisha mwenyewe kwenye mtandao wa twitter kuwa ameondoka nchini humo.

Kwa mujibu wa Kizza Besigye akinukuliwa na gazeti la Daily Monitor Jumatatu wiki hii, aliamua kufuta safari yake kwenda nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne kufuatia hatua ya polisi ya kuweka kizuizi nje ya nyumba yake.

"Am now checked-in for my Nairobi flight. Police Offr this morning said I won't go anywhere. We fly & we shall overcome by defiance!! "

"Before my "reinforcements" arrived, the Police Offr i/c of guarding our home has ordered for opening the way! Too late to catch my flight!!"

Serikali imekua ikijaribu kumzuia ili asiondoki bila mafanikio, amesema Bw. Besigye.

Hata hivyo msemaji wa polisi alikanusha madai ya kuzuiliwa kuondoka nchini humo, akisema kuwa ni mbinu za Kizza Besigye kutaka kuonyesha kuwa hatendewi haki wakati sivyo.

Kizza Besigye anatarajiwa kuhutubia mkutano wa tume ya kimataifa ya mawakili mjini Johannesburg siku ya Alhamisi.

Source: RFI
 
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye ameitoroka nchi yake. Hayo ameyathibitisha mwenyewe kwenye mtandao wa twitter kuwa ameondoka nchini humo.

Kwa mujibu wa Kizza Besigye akinukuliwa na gazeti la Daily Monitor Jumatatu wiki hii kuwa, aliamua kufuta safari yake kwenda nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne kufuatia hatua ya polisi ya kuweka kizuizi nje ya nyumba yake.

"Am now checked-in for my Nairobi flight. Police Offr this morning said I won't go anywhere. We fly & we shall overcome by defiance!! "

Serikali imekua ikijaribu kumzuia ili asiondoki bila mafanikio, amesema Bw. Besigye.

Hata hivyo msemaji wa polisi alikanusha madai hayo, akisema kuwa ni mbinu za Kizza Besigye kutaka kuonyesha kuwa hatendewi haki wakati sivyo.

Kizza Besigye anatarajiwa kuhutubia mkutano wa tume ya kimataifa ya mawakili mjini Johannesburg siku ya Alhamisi.

CwutH5DXAAAAn-V.jpg

Source: RFI

Piga ua lazima safari yake itaishia London, Uingereza!
 
Kinachonishangaza ni kwa nini Kaguta alikuwa hataki kabisa jamaa asitoke nje ya nchi.
Keep your friends close and your enemies closer. Hajui atafanya nini akiwa mbali ya upeo wa macho yake, jamaa ana support kubwa internationally.
 
Keep your friends close and your enemies closer. Hajui atafanya nini akiwa mbali ya upeo wa macho yake, jamaa ana support kubwa ya internationally.

Nakumbuka miaka ya karibuni PK alikua anawafwatia huko huko mafichoni anamalizana nao kabla hawajaleta madhara kwa system yake sasa huyu bwana kiza awe mwagalifu isejekua kama final destination mana sirikali ina mkono mrefu
 
Ninasikia hata ukiwa nje ya Uganda, mkiweka kikao cha kumuongelea Kaguta, siku unarudi usalama wanakudaka airport, Kaguta mwenyewe ni usalama.
 
Viongozi wa kiafrika taabu sana, akili ya kuongoza hawana lakini bado wanang'ang'ania kukaa madarakani kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom