Hatimaye Joshua Nasari Aaapishwa

Kijana amka sasa ni taifa letu time ya wazee imekwisha leo Nassary tunataka inayofuata iwe mimi na wewe tuvue magamba yaliyo salia. Big up sana Joshua Nassary and M4C.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kwamba Umri Mdogo kabisa wa Mtanzania Kugombea Ubunge ni Miaka 21. Kwa Hiyo haijawahi kutokea katika Uchaguzi tukapata Mbunge mwenye Umri wa miaka 21. Ila kwa Sasa walio bungeni Joshua Nasari anaweza kuwa the Youngest

Si kweli mdogo kabisa ni mheshimiwa Felix Mkosamali mwenye miaka 25.
 
Mwenye kumbukumbu naomba anisaidie. Katika historia ya bunge la JMT Je ni mbunge gani wa kuchaguliwa (mbunge wa JIMBO) aliwahi kuingia bungeni akiwa na umri mdogo?

Bila shaka ni Mbunge wa Muhambwe Mh. Felix MkosaMali (24 yrs wakati anaingia)
 
hongera dogo janja na kila lakheri kuwatumikia wana AR. Sabodo ameonyesha njia komaa waone mabadiliko ya ukombozi.
 
Ongera sana dogo janja mungu akutangulie na akulinde na kila nguvu mbaya ya kukudhoofisha.tutakuombea maana vija ndio chachu ya maendeleo ya nchi.
 
Eti ni kweli kijana wa ccm bungeni ni nchemba, kibajaji na nyangwine?
 
Hongera Nasari tunataka kazi ianze kwa spidi 120, kumbuka thamani ya mbunge mmoja wa chadema ni sawa na 30 wa CCM na 30 CUF na vyama vingine
 
Back
Top Bottom