Hatimaye Joshua Nasari Aaapishwa

Dogo Ndugai bana....eti order,order,order......mbona CCM uwa wana-duha na kuduha,wenye kucheza n'ndusii,mganda,ling'oma,mdumange,mangala,mdundiko,bogobogo...lakn kwa Chadema eti order,order,order....ila nilipenda dogo chidaz akampe mkono Wassira!
 
Mwenye kumbukumbu naomba anisaidie. Katika historia ya bunge la JMT Je ni mbunge gani wa kuchaguliwa (mbunge wa JIMBO) aliwahi kuingia bungeni akiwa na umri mdogo?
 
Una maanisha nini? What is your reference when you are saying Umri Mdogo? 18 years, 20 years?
 
Mwenye kumbukumbu naomba anisaidie. Katika historia ya bunge la JMT Je ni mbunge gani wa kuchaguliwa (mbunge wa JIMBO) aliwahi kuingia bungeni akiwa na umri mdogo?

zito kabwe aliingia akiwa mdogo na mkosamali
 
Mwenye kumbukumbu naomba anisaidie. Katika historia ya bunge la JMT Je ni mbunge gani wa kuchaguliwa (mbunge wa JIMBO) aliwahi kuingia bungeni akiwa na umri mdogo?

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kwamba Umri Mdogo kabisa wa Mtanzania Kugombea Ubunge ni Miaka 21. Kwa Hiyo haijawahi kutokea katika Uchaguzi tukapata Mbunge mwenye Umri wa miaka 21. Ila kwa Sasa walio bungeni Joshua Nasari anaweza kuwa the Youngest
 
Back
Top Bottom