HATIMAYE John Tendwa akubali kukutana na CHADEMA

aiseee babaangu hiyo barua yetu imekwenda ikuli gani hiiii ya magogoni au ikulu nyingine??? manake ikulu ya magogoni siiamini hata kidogo wanaweza sema imepotei barua yetu

Hiyo ndio embarassment ya wazi kwa CCM,si waliwatosa Wakristu?Moyoni kwa kila Mkristu anajua cha kufanya, na kauli ya CDM na challenge za wananchi kuhushu haya ni dejavu kwa CCM 2015.
 
Mtoa mada alitakiwa aandike HATIMAE CHADEMA Wamekubali kukutana Msajili... Na angeanza na maneno hayo hayo ila kinyume chake Chadema yanywea... tuwe wawazi hata sisi tunataka mabadiliko ila sio kuleta mada kijinga Pembe la Ng'ombe halifichiki... mimi nilikuwa najiuliza kila siku hiyo kauli ya Mboe na nilijua itaishia sakafuni tu...

Wacha kuleta hoja za uongo kwani Mboe kwa niaba ya Chadema ndie aliyesusa kukutana na Tendwa na aliapa kutoshirikiana nae ... Chadema hakiwezi kuwa na watu waongo kama mtoa mada....
 
Back
Top Bottom