Ikumbuke story ya monduli ya kikwete na sayore ndio utajua kwa nini alikuwa hamwiti baba wa taifa, huwa anaita mzee wetukwan hajawahi kumwita?
Nilikuwa sijafuatilia hii. Na huwa anamalizia na jina? maana wazee wetu wapo wengi...Ikumbuke story ya monduli ya kikwete na sayore ndio utajua kwa nini alikuwa hamwiti baba wa taifa, huwa anaita mzee wetu
<br />kwenye baraza la eid,lakini inaonekana ameandikia kwa sababu anasoma kama risala kwenye karatasi
<br />Ikumbuke story ya monduli ya kikwete na sayore ndio utajua kwa nini alikuwa hamwiti baba wa taifa, huwa anaita mzee wetu