Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

hata wakijaribu kutumia maneno yao wenyewe hapa halali mtu mpaka kieleweke kwenye hii kamati! tik tak tik tak tik tak .....

Ujanja wanaoutumia sana ni kuingiza topic mpya mpya kama ile ya Mbowe ili kuwapoteza maboya wa tz.....! angalia like now issues za IPTL, Richmonduli zinaonekana kupoa while EPA iko juu kinyama! Sasa tusikubali kuingizwa chaka...hawa watu ni kula nao mbadembade tu!!!
 
Ujanja wanaoutumia sana ni kuingiza topic mpya mpya kama ile ya Mbowe ili kuwapoteza maboya wa tz.....! angalia like now issues za IPTL, Richmonduli zinaonekana kupoa while EPA iko juu kinyama! Sasa tusikubali kuingizwa chaka...hawa watu ni kula nao mbadembade tu!!!

Wala usijali, wakati mada kama ya Mbowe ikiendelea kushughulikiwa taratibu, haya bado yanaongelewa na hapo ndipo watagundua kuwa JF ni sauti ya wengi kwa hiyo ni sauti ya MUNGU.

Hata watumie mapesa kiasi gani ya Mwizi mkoloni Rostam Azizi bado hapa watachemsha na magazeti ya nyumbani yataendelea kupata habari kupitia JF na kuyaanika mafisadi yote ya ccm hadi kieleweke.

Tatizo hawajui kuwa wanashindana na MUNGU hapa ambaye amechoshwa na wizi wao usio na huruma!

Usijali kabisa hapa haamishwi mtu na kinaendelea kueleweka kama kawa...

tik tak tik tak tik tak....
 
Usijali kabisa hapa haamishwi mtu na kinaendelea kueleweka kama kawa...

tik tak tik tak tik tak....

Ningefurahi kuona kuna watanzania like 15m atleast ambao hawakubali kulala usingizi mpaka mstakabali wa nchi yao ueleweke! Lakini huko vijini hali ni mbaya ref. uchaguzi mdogo kiteto, town kulichangamka utapenda, bush kukawa doro kabisa!
 
Masaki,
Yaani ndugu yangu mtu akitoa hoja kali ikakuelemea unaanza kupiga ramli.Mbona unareflect viongozi wako wengi kwa hili? Duh,tunajenga taifa la wapiga ramli!
 
Wala usijali, wakati mada kama ya Mbowe ikiendelea kushughulikiwa taratibu, haya bado yanaongelewa na hapo ndipo watagundua kuwa JF ni sauti ya wengi kwa hiyo ni sauti ya MUNGU.

Hata watumie mapesa kiasi gani ya Mwizi mkoloni Rostam Azizi bado hapa watachemsha na magazeti ya nyumbani yataendelea kupata habari kupitia JF na kuyaanika mafisadi yote ya ccm hadi kieleweke.

Tatizo hawajui kuwa wanashindana na MUNGU hapa ambaye amechoshwa na wizi wao usio na huruma!

Usijali kabisa hapa haamishwi mtu na kinaendelea kueleweka kama kawa...

tik tak tik tak tik tak....

Mkuu,
Hawa watu wanajaribu kija kwa kila namna ili tu kupotosha hoja zote hapa.Lakini tutawapa mawe ya nguvu tu,akija kistaarabu tupo,akija na hoja nzito tutakabiliana nayo bila kulazimisha hoja ila hakuna kulia lia,akija kihuni tutatawarekebisha kihuni tu,wakicheza mdako tunao,isipokua huko kwenye ramli ni dhambi kubwa sana.Nadhani vinginevyo hii dunia itakua kwenye matatizo makubwa.

Ngoja sasa nirudi shule,nisijekuwa mpiga ramli hapo baadae na kucheza kidali po!

Chinga baadae nikirejea tafadhali uwe umekanusha kauli yako kule kwingine,wakati huo huo namkaribisha kada hapa jamvini pamoja na masaki tusicheze kidali po!
 
Masaki,
Yaani ndugu yangu mtu akitoa hoja kali ikakuelemea unaanza kupiga ramli.Mbona unareflect viongozi wako wengi kwa hili? Duh,tunajenga taifa la wapiga ramli!

yaani we acha tu,

vidali wakati wanapiga ramli sisi tunatunza kumbukumbu ya kila uovu wanaofanya na muda si mrefu wao na watoto wao na familia zao watakuja kujieleza mbele ya uma wa watanzania wenye hasira kali waliomkamata mwizi wa cell phone pale manzese..

Kikwete hii report inasubiriwa kwa hamu... tik tak tik tak tik..
 
We have a situation where armed people went into Tanzanian villages, threw the people off their land, and started digging for gold. That was done with the full support of the CCM government. In fact, the government supplied the said armed thugs. According to Lisu, Mrema and a few others, some of the villagers resisted and were simply shot dead.

So, they started this gold mining thing. Currently, they annually remove, from the same villages, gold that is worth about $1.0 billion. You would think that they would be reasonable enough to give at least half that amount to Tanzania, but they do not. Last year, they simply gave $27 million to the government an some unspecified amount as kickbacks to CCM officials.

No matter how you look at it, it is armed robbery! Why is JK unwilling to suspend the armed robbery operations while his officials negotiate some less offensive arrangement? Is it the armed robbers that he fears, or are his colleagues in the ruling party putting pressure on him? Does he have vested interests in maintaining the statusquo?

Be that as it may, but I feel that it is time the people treated these armed robbers as they would any others.
 
hawa wanatuzingua tu na ripoti yao..tunasubiri sasa tushasahau na moto ushatuisha
 
Nina wasi wasi kuwa ripoti hii inaweza isiwekwe hadharani kwa ukamilifu wake. Wasi wasi wangu unatokana na adidu za rejea walizopewa kamati hiyo. kama hadizu za rejea ilikuwa ni kuishauri serikali, rais alazimiki kuitoa hadharani. Hiyo inaweza kutumika kama kivuli cha kuificha, nina wasi wasi sana.
 
hii wanaweza wakaifunika kwa kisingizio kuwa ni tume ya rais na sio tume ya bunge.
tunaomba mheshimiwa zitto au wenginewe waliomo kwenye tume hiyo ambao wanauchungu na nchi, wailikishe hiyo report ili nguvu za umma zipate kutetea hoja.
 
Why is JK unwilling to suspend the armed robbery operations while his officials negotiate some less offensive arrangement? Is it the armed robbers that he fears, or are his colleagues in the ruling party putting pressure on him? Does he have vested interests in maintaining the statusquo?
.

Mwalimu,
You are asking a question that you may already have an answer to. Could it be that JK is part and parcel of the armed robbers and he is just pullin wool over our eyes? Could it be?
 
Mwalimu,
You are asking a question that you may already have an answer to. Could it be that JK is part and parcel of the armed robbers and he is just pullin wool over our eyes? Could it be?

More likely!
It is increasingly becoming apparent that he is part of the problem.

Note: Could it be that 'mstahiki' has a report or an extract of the said report? Refer to an active ongoing topic in this forum.
 
More likely!
It is increasingly becoming apparent that he is part of the problem.

Note: Could it be that 'mstahiki' has a report or an extract of the said report? Refer to an active ongoing topic in this forum.

Mwalimu Kalamu,

Nimepewa habari toka ndani ya kikao kuwa hii report itakabidhiwa "rasmi" kwa Kikwete mwisho wa mwezi huu.

Ninavuta subira kidogo ili niwe miongoni mwa "wataoshuhudia" kwa mara nyingine tena na tena kama kikwete ni part ya hii problem au anafanya juhudi za kujitoa ili kufanya kazi kwa uaminifu na utii wa katiba kama alivyoapa!
 
A coupe of days back a group of armed robbers arrested some villagers and imprisoned them in the robber's quarters. Valiantly, the villagers fought back. They torched one of the houses and freed their own. Tragically, the government is on the side of the robbers. It was the government that assisted the robbers in seizing the village land, by force.

We really are a peace loving people! The villagers should have torched all the houses and chased the robbers from their land. If the village wishes to mine what is in its ground by using hoes, so be it!

What kind of government allows armed "investors" (robbers, really) to imprison its citizens? It must be a government of the robbers, for the robbers and by the robbers.

See newspaper article below:
++++++++++++++++++++++++++++++++==
Irate villagers fight it out with miner`s security guards

2008-03-25 09:22:33
By PST Correspondent, Korogwe
Fighting between security guards of Amazon mining company and people has erupted in Kigwase Village, Korogwe District, Tanga Region with the guards said to have used live bullets.

A house belonging to the company's manager was set on fire as angry villagers invaded the mining company`s camp in an attempt to have two of their fellow villagers, who had been arrested and locked up in the camp, released, according to reports from the scene.

The incident occurred last week when the company`s security guards apprehended two villagers who were reportedly found prospecting on the company`s compound illegally.

Speaking to PST, Kigwase local government leader Augustino Yustino said the situation became tense, forcing village authorities to solicit police assistance to calm down tempers by the angry villagers.

Yustino said the fighting started after the villagers received information on the arrests by the security men. The company was allegedly planning to take the villagers to court.

``The security guards ignored the request by wananchi to set the villagers free, upon which the villagers mobilised themselves and ambushed the company's camp to rescue their colleagues,`` Yustino said.

``As the fighting was going on, the security guards fired in the air in an unsuccessful attempt to disperse the villagers. It is at this point that local government leaders intervened,`` he said.

After failing to bring peace during the fracas, local government authorities had to communicate with Tanga regional police commander and Korogwe district police commander, who sent police units which ultimately managed to bring the situation under control.

The village leader dismissed allegations that the village authorities were siding with the investor for failure to solve the long-standing and frequent problem, which had already resulted in the killing of some villagers.

Instead Yustino passed on the blame to district authorities for failure to restrain the investor from mistreating the villagers, including arbitrary arrests, beating up and locking them up in the company`s cells.

According to documented reports, more than five people have so far been shot dead by the company`s security guards during past similar incidents.

Last year a similar crisis called for the intervention of the Field Force Unit (FFU) when wananchi rose up against the investor`s alleged exploitative and discriminatory practices.
  • SOURCE: Guardian
 
So, JF members are not interested in this, are they? Some mining outfit plays police in an otherwise peaceful village in Tanzania, and that does not attract the attention of JF members?

Where are you Mwafrika wa Kike? It’s your thread, remember? There was plenty of activity around here when it was rumored that Mzee Mwanakijiji had developed some soft spot towards you. Is this thing of trigger happy guards arresting villagers, for “trespassing” on the villagers’ own land, not a whole lot more interesting to you, and even to Mzee Mwanakijiji?

Come on guys, your silence on this is deafening!
 
Maadam Zito Kabwe Yupo Na Kwa Kuwa Imani Yangu Inanipa Kuwa Zito Ni Mzalendo Halisi, Hakuna Kitakachoharibika Maana Nijuavyo Mimi Kila Mwanakamati Atakuwa Na Copy Ya Nakala Yake Kwa Hiyo Hata Jk Akiamua Kuikalia Najua Ya Zito Itatoka Tu Piga Ua
 
Najua Kwa Vyovyote Ni Lazima Itachelewa Sana Maana Inamgusa Mtu Mkubwa Mno Kama Tembo Na Mwenye Hasira Kuliko Nyati Bwm Na Najua Hii Inaweza Kumpeleka Na Maji Kabisa Kwani Watu Wengi Sasa Wameanza Kujua Nini Ilikuwa Maana Ya Ukali Wake Alipokuwa Pale Magogoni
 
Huwa Roho Inaniuma Sana Ninapofikiri Kuhusu Bwm, Hivi Watanzania Tulimkosea Nini Mpaka Akaamua Kututenda Hivi? Na Mara Nyingine Huwa Nakumbuka Maneno Ya Mtikila Aliyewahi Kusema Bwm Ni Wa Msumbiji Na Si Mtanzania. Maana Sidhani Kama Kuna Mzalendo Wa Kweli Anayeweza Kuwatosa Ndugu Zake Namna Hii
 
Back
Top Bottom