Hatimaye Jairo apigwa chini bila huruma

PICHA+NA+2.jpg

Hiyo picha ingegeuzwa ili tuone sura za hao wanafki.
 
Ngeleja atamsindikiza uwanja wa ndege pindi atakapo kuwa akielekea kazini kama balozi mteule.

dah kama akipewa CHEO KINGINE SITAKUWA MTANZANIA MZALENDO KABISAAA.....KAMA UBAYA UBAYA TU.
 
Dah ukiangalia jinsi alivyosukumwa mpaka roho za watanzania ZINAUMA!Dah kweli JK hapo kaanzia pazur akiweza kumpeleka mahakamani nitamsifu sana[/QUOTE
ushawahi kuona wapi mwizi anamshtaki mwizi mwenzie
 
Dah ukiangalia jinsi alivyosukumwa mpaka roho za watanzania ZINAUMA!Dah kweli JK hapo kaanzia pazur akiweza kumpeleka mahakamani nitamsifu sana

hataweza kumpeleka mahakamani huyo mtu, labda amtafutie ulaji mwengine.
 
hapo kwenye picha ya watu wanasukuma gari mganga ngeleja hayupo kweli? maana nilimuona tbc1 akimfungulia mrango Jairo.
 
Anaweza mpeleka majuu kuchukua nafasi ya yule aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya Luhanjo
 
loh wazee wazma na tai zao hata aibu hawana
inasikitisha mijitu mizima labda ndio wale waliohusika ktk kupnaga zile posho
nchii hiii bwana hakuna atakaewajibishwa jairo ana siri binafsi ambazo jairo akizianika hakutakalika kuhusu IPTL [QUOTEuk=EMT;3071101]
PICHA+NA+2.jpg
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom