Hatimaye Jairo apigwa chini bila huruma

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Jamani rais kesha chagua katibu atakaye kalia kiti cha JAIRO.Nadhani sasa ni rahisi kumpeleka MAHAKAMANI kama wataweza.
 
Anasubiri kupangiwa kituo kingine cha kazi.
 
Dah ukiangalia jinsi alivyosukumwa mpaka roho za watanzania ZINAUMA!Dah kweli JK hapo kaanzia pazur akiweza kumpeleka mahakamani nitamsifu sana
 
Wapi ngereja aende kumpa na pole, si alitoroka bungen kwenda kumpokea alivyorudshwa na janga luhanjo.
 
Kwa kosa gani?!, ujenzi wa twin towers haukuwa na dosari, kesi ya Liyumba inakisababishi kingine, Jairo hana kisababishi kingine. Atapeta tu.
asee u made ma day dude!!! Ila anatakiwa aswekwe lupango km kina lyumba halaaaa
 
God forbid, hiyo ndege itasukumwa na wafanyakazi mpaka ipae.

PICHA+NA+2.jpg
 
kwa kosa gani?!, ujenzi wa twin towers haukuwa na dosari, kesi ya liyumba inakisababishi kingine, jairo hana kisababishi kingine. Atapeta tu.

ahaaa kumbeeee
ni kama yule mdingi
pesa2 wanazungusha
kesi weee then
hukum inapotezewa!

I really love ma counry
kila kitu muzuri
 
Mnamuonea Jairo kwa vimilioni vinne tu kwa miezi miwili ya kikao cha Bunge, mbona DG wa PPF bw. Wiliam Erio anavuta dola 1012 kwa kila mchana awapo nje ya nchi?


Soma Dira ya Mtanzania last week, ana safiri over JK kwa kutumia michango yetu

Hata Liyumba hakuwa kama huyu DG wa PPF yeye anahonga nafasi za kazi sio vyekundu.


Jamani rais kesha chagua katibu atakaye kalia kiti cha JAIRO.Nadhani sasa ni rahisi kumpeleka MAHAKAMANI kama wataweza.
 
Back
Top Bottom