HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

Mi nimeona jina langu kwenye page ambayo jamaa mmoja alikua nayo. Wameonesha kabisa na loan breakdown. Thank you God. Ila sitaacha kutetea wale waliokosa kwani najua hali niliyokua nayo kabla ya habari hizi. Inauma sana kunyimwa mkopo usiombe ikukute.

Nisaidieni kujua hayo majina nayapata vipi??
 
Wadau msaada vp barchelor of commerce in banking and financial services ikoje wadau coz nimechaguliwa udsm .naomba ushauri please
 
Hili jukwaa siku hizi limekuwaje? Yaani nyuzi zake zimekua kama nyimbo za mwanamuziki flani hapa nchini kwa maana ya kujaa mipasho, kutukanana na kusutana humohumo.
 
Safii kwa kuchangamsha akili za watu.Mjifunze kujua vyanzo za habar sio kila utakachoambiwa JF ni sahihi.
 
mod`s tunaombba threats zote zinazopostiwa wakati sio current ziondolewe coz zinatutia presha bure hapa nimehangaika kuangalia kila website kumbe post yenyewe ya mwaka 2011
 
Back
Top Bottom