Hatimaye G55 imebusu mkono wa UAMSHO.

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Mweyekiti wa G55 amepongeza juhudi za UAMSHO kuleta mabadiliko ya muungano. Amesema kwame tuko nyuma yenu na amini mia kwa mia jiwe mlotupa litaua ndege wawili kwa mpigo! Maadam kukomboa Zanzibar imetukomboa nasi! Swadakta.
 
unawazungumzia G55 wepi?wale waliokuwa wanadai tuwe na nchi tatu katika muungano,ikiwemo tanganyika?walioongozwa na nje..u kas..ka ?
 
La Hasha hawapo zenj, ndio walewale Mwalimu aliwapiga TKO. Tunakula na kunywa nao. Beware ides of march.
ok ok ok nadhani sasa nimesoma mchezo.. kumbe wapo ndani ya nyumba...nadhani sasa naweza unganisha mambo.... simplemind nimekusoma mkuu
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom