Hatimaye 'dawa' ya ukimwi imepatikana!

Mpaka uje ufanyiwe hayo huku kwetu ni karne mbili zijazo, kama nchi yenyewe itaendelea kuwepo
 
mh...ikishaingia huku kwetu ndo maambukiz yatazid maradufuu!
 
mmh, this is miraculous if at all it's true... tatizo ni kwamba tunakimbiza upepo... ikipatikana tiba ya uhakika tu, watu watafanya ngono ya kufru...
 
Sio mapema ndugu yangu, Ni baada ya MATESO BILA CHUKI ya muda wa kutosha Umri wa Mtu Kuzaliwa na kufikia kustaafishwa, Just count these Years
 
Mh huu uponyaji unapatikana ulaya tu. Vipi kituo cha madawa asilia muhimbili wamefikia wapi?
 
The story like this isnt first time on air!!! ... The whole concept of health and wellness seems illusive and politically geared everywhere you try to trade ...

BUT

Can anyone help on this??

WHY do animals and tree deep down in the forest get cure on their own .. WHY do human being dont inhherent that power!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom