Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

Hii inatokana na kutokuonekana kwa mchekeshaji huyu kwenye harusi ya memba mwenzake wa kundi la Vichekesho la ze comedy wakati wengine wote walikuwepo ukimuacha mgonjwa Vengu pekee taarifa kutoka kwa mnyetishaji wetu zinasema wawili hawa wamekuwa hawaivi kutokana na sababu za kibiashara.
Hii nayo ni siasa? Mod ikiwapendeza ihamishieni hii kitu inakostahili
 
Hii inatokana na kutokuonekana kwa mchekeshaji huyu kwenye harusi ya memba mwenzake wa kundi la Vichekesho la ze comedy wakati wengine wote walikuwepo ukimuacha mgonjwa Vengu pekee taarifa kutoka kwa mnyetishaji wetu zinasema wawili hawa wamekuwa hawaivi kutokana na sababu za kibiashara.
Uamuzi wao wa kushirikiana na ccm sasa umewatokea puani
 
Hii inatokana na kutokuonekana kwa mchekeshaji huyu kwenye harusi ya memba mwenzake wa kundi la Vichekesho la ze comedy wakati wengine wote walikuwepo ukimuacha mgonjwa Vengu pekee taarifa kutoka kwa mnyetishaji wetu zinasema wawili hawa wamekuwa hawaivi kutokana na sababu za kibiashara.
sasa hii nayo ina fit humu kwenye jukwaa la siasa?
 
Wabunge wa ccm wana umoja sana, nusu ya wahudhuriaji kwenye hiyo harusi walikuwa wabunge, kumbuka masanja alikuwa mtia nia kwenye jimbo lililokuwa la filikunjombe.
 
Si mchungaji huyu jamaa alikua ana bunyua kondoo wake hhh katisha kawapa nyumba? basi list ilikua ndefu poleni kondoo mlio achwa kwa kukosa malisho
Ilikuwa kabla hajamrudia Mungu wake, baada ya kumrudia Mungu ndio akawaacha, akaanza maisha mapya, neno linasema, tazama yakale yamepita ............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom