Hatimaye china yapata meli kivita ya kubeba ndege

really struggling to match usa's power inthe pacific but the truth is america is decades ahead in weapons n military technology
A%20S%2039.gif
 
Watu wachache au waliofika kote Marekani & China na kujionea maendeleo physically na uwe na elimu say a degree then unaweza kujua USA sio wenzetu... hata kidogo, China uchumi wake ni sawa na States 3 tu i.e
California, Texas & Michigan.... see GDP....
1: Look NASA wanavyotawala UNIVERSE, i have been there, u can't imagine, its wonders ni vigumu kuelezea ordinary person huku akiwa anaongea hakufika...

2: US Marine.... Is such a HUGE powerful millitary, ni hatari

3: USAF... US Air Force.... naijua, its hard to explain ukaelewa, such a powerful ever Airpower.... They guard that big continent like a small garden,

3: Agriculture... hahaaaa, is only Country in the world can feed the world, .... period.... acheni utani....

4: Infrastructures, Railway stations, Airports, Roads, Harbours.....ooohhh..... ni kubwaa, most busy... 24/7....

IN NO WAY U CAN COMPARE US with any country....
 
China kwanza wamechukua toka kwa Russia na kuimodify this is shit hamuwezi marekani na sasa watapitisha sheria ya kufungia electronics fake hahahah kifo cha china
 
mnaoitetea marekani,naombeni kùuliza,kwann marekan ina maden china?ukwel ni kwamba 'CHINA after ten yrz,itakuwa nchi inayoongoza kwa uchumi dunian'!
 
China inaogopwa bure kumbe ndiyo kwanza inapata manowari kama hii. Marekani wanazo 11. huku 3 zingine zikiwa zinaundwa.Hizi za US ni nyingi kuliko za nchi zote zikichanganywa pamo

Inakusaidia nini kushindanisha Marekani na China? Au ndio mambo ya Yanga na Simba?

Nita-appreciate zaidi kama ungelinganisha Tanzania yetu na hayo mataifa na kushauri tufanyaje ili tuwafikie hao waliotuzidi.
 
tunapashana habari hapa,Tz kufika huko inahitaji reform kuanzia system zote pia baada ya hapo action zifanye kazi we have all resources to enable us reach where we want its us to act knowing that time is not at our hand.
 
sasa mbona inaiyogopa iran atauwe natechnologia ya aina gani ua kivita theis only one thing which is bigger than ALL weapon is NUCLEA WEAPON enpecialy nuclear BOOOM.kama ukiweza ku liproject likafika at least 200 kilometers from US land can cause very serious DEVASTATION OF MORE THAN ONE STATE TURN THEM INTO GROUND ZERO NDIYO MAANA usa wanaiogopa IRAN kama ukoma na wala marekani haitathubutu kupigana na haina uwezo waku battle in field directly with CHINA,RUSIA,IRAN north COREA EVEN INDIA
 
tunapashana habari hapa,Tz kufika huko inahitaji reform kuanzia system zote pia baada ya hapo action zifanye kazi we have all resources to enable us reach where we want its us to act knowing that time is not at our hand.

Du! Hii sred angalau imenipumzisha na kizunguzungu cha UCCM. na UCDM
 
Umesahau kuhesa meli ya kivita ya Tanzania kama nchi pekee barani afrika iliyopata kumtangulia China kununua ( Naandika huku najicheka)
 
Nukes only will tell...nothing more
the big guns of the world china is threat to usa get use to it bro.....
 
Watu wachache au waliofika kote Marekani & China na kujionea maendeleo physically na uwe na elimu say a degree then unaweza kujua USA sio wenzetu... hata kidogo, China uchumi wake ni sawa na States 3 tu i.e
California, Texas & Michigan.... see GDP....
1: Look NASA wanavyotawala UNIVERSE, i have been there, u can't imagine, its wonders ni vigumu kuelezea ordinary person huku akiwa anaongea hakufika...

2: US Marine.... Is such a HUGE powerful millitary, ni hatari

3: USAF... US Air Force.... naijua, its hard to explain
ukaelewa, such a powerful ever Airpower.... They guard that big continent like a small garden,

3: Agriculture... hahaaaa, is only Country in the world can feed the world, .... period.... acheni utani...

4: Infrastructures, Railway stations, Airports, Roads, Harbours.....ooohhh..... ni kubwaa, most busy... 24/7....

IN NO WAY U CAN COMPARE US with any country....

Mkuu... i loved your analysis, ni kweli hasa hapo uliposema watu waliofika kote ndio wazuri to judge....

i travalled to both countries several times
Niseme MAREKANI WAKO MBALI SANA...
Kwa kila kitu....kisayansi, Kijeshi, kijamii, kisiasa, economically....
Na ukifika ukajionea , then you go China, & compare kwa nyakati tofauti ukiwa ktk pitapita zako za safari....
US is a single very very strong ever country.... very strong..
Eg. Once US economy goes down we all suffer.... immeadiately.... dunia nzima.... Marekani wakiproduce food kidogo chakula kinapanda worldwide haraka....
Marekani ina majeshi Dunia nzima, & very powerful, na wanatoa mafunzo sehemu mbalimbali....
Vyuo vikuu usiseme.... nenda US utaona jinsi wachina wengi wanasoma na kusaka kazi US,
.... If ur an Aviator like me, google US AirForce uone vitu hapo, technolojia ndege zao za vita iliyoekewa, precision target is ALMOST NEVER MISS A TARGET.... anyway in the WORLD US anakupiga without missing.... Israel usione wanapiga piga kelele wanakaa chini ya mwavuli wa US, wanajua, of course ndugu zao US jewish are the RICHEST dudes there, wana nguvu kubwa ndio maana US wanawasaidia ..


Oooohh. I read one comment hapo juu eti MAREKANI inaogopa Iran..!?? huu ushabiki wa ajabu....

HUWEZI LINGANISHA US na kitu, mtu, nchi, au chochote... I am done.... amini usiamini...
 
Vipi Teknolojia iliisadia vipi marekani katika vita za Latin America na Vietnam? na je vipi leo China inatoa wataalamu waliobobea zaidi ya 300000 huku USA ikizidiwa hata na India kwa kutoa chini ya 76000!! wakati wenzenu wanawaza wazifanyie nini nchi zao sisi tunawaza wenzetu wanafanya nini kwao!! na kama tunatarajia maendeleo kwa mfumo huu TWAFWAA!

Kwa sababu hatutaki kujiuliza kila Mwaka kuna WATUMWA WALIOELIMIKA 100000 wanahitajika kupewa uraia USA ili kuziba mapengo! sasa mimi hushangaa napowaona baadhi yetu waki-apply na wao green-card ili wapewe na wao nafasi hiyo!
hebu tutajieni ni MTUMWA gani aliyeko USA na ana kitu cha maana AMEWEKEZA hapa NCHINI ama POPOTE!? samahani kwa kauli hiyo na huo ndio ukweli wenyewe. wakati ni HUU tukinyamaza makundi kwa makundi yatazidi kupotea bila kujua wanachotaka wala kutafuta.. maana wengi tunadhani TUNAISHI ILI TULE!
 
Back
Top Bottom