Hatimaye BAVICHA yapata Katibu Mkuu, ni Deo Munishi

nafrai jumuia imepata katibu wake na namtakia kila la kheri, lakini naomba kutoa maoni yangu kuwa ni technical mistake nyingine kwa kumpa mchaga nafasi nyeti kama hiyo...ingefaa sana kama angetokea sehemu nyingine ya nchi mfano mbeya,mwanza au iringa (sio lazima mikoa hiyo but isiwe kaskazini) ili kuongeza ushawishi na mvuto wa chama katika maeneo hayo na kuondoa ile hoja kuwa cdm ni ya wachaga na ni ya watu wa kaskazini.
 
munishi hili anatoka kaskazini, hakuna msukuma wala wanyakyusa
Ukabila na makabila yanarudi kwa kasi sana, acheni ushamba hiki ni chama cha watanzania kwa ajili ya watanzania. Ukanda ukabila na udini pelekeni CCM. Huku tunajadili mitazamo na namna bora za kukabiliana na changamoto za masiha yetu.
 
nafrai jumuia imepata katibu wake na namtakia kila la kheri, lakini naomba kutoa maoni yangu kuwa ni technical mistake nyingine kwa kumpa mchaga nafasi nyeti kama hiyo...ingefaa sana kama angetokea sehemu nyingine ya nchi mfano mbeya,mwanza au iringa (sio lazima mikoa hiyo but isiwe kaskazini) ili kuongeza ushawishi na mvuto wa chama katika maeneo hayo na kuondoa ile hoja kuwa cdm ni ya wachaga na ni ya watu wa kaskazini.
Ukabila na kuchaguana kwa makabila tumewaachia CCM na CUF yao. CDM ni uanachama, uadilifu na uwezo wa kuongoza ndio mambo yanayozingatiwa hata kama wewe ni Mkara!!!!
 
Acha hizo fikra potofu,Chama si cha kikabila,kama wengine mmelala hamtaki kuwa mstari wa mbele katika mapambano unategemea nini?

Hizo ni fikra mgando ambazo hazihitajiki wakati huu,wewe gamba nini?
 
Pole sana kwa ufinyu wa mawazo! Hivi mpaka leo hujapata ufaham kwa nini wachaga wako kila mahali, na kwa uhalali?!

Acha mawazo mgando na fikra finyu tena potofu za udini, na ukabila!

Nakushauri ufanye kazi kwa bidii, soma upate kufahamu na Mungu akusaidie kupunguza na kuiondoa "inferiority complex" uliyonayo!

Kutoshaurika ndiyo kilema chenu!
Ukweli ndio huo, kwa mwendo huu lazima mashaka yajengeke miongoni mwa watz. Kwa chama makini huwezi kuona haya yakijirudia rudia!
 
Pole sana kwa ufinyu wa mawazo! Hivi mpaka leo hujapata ufaham kwa nini wachaga wako kila mahali, na kwa uhalali?!

Acha mawazo mgando na fikra finyu tena potofu za udini, na ukabila!

Nakushauri ufanye kazi kwa bidii, soma upate kufahamu na Mungu akusaidie kupunguza na kuiondoa "inferiority complex" uliyonayo!
Hua nashindwa kabisa kuelewa watu hasa vijana wa CDM wanapozungumzia Udini na Ukabila... Sasa mdini nani hapa ndugu yangu. Wewe umesoma maswali yangu umeshindwa kujibu unakuja na kuniita mdini sijui nina inferiority complex... tangu lini mnyonge akawa mdini? siku zote mwenye nguvu ndiye anaweza kuutumia Udini, wewe ulokuwa superior ndiye mwenye nguvu ya Udini na maandishi yako yanajieleza wazi.

Siku zote nawashangaa sana, inapokuja swala la CCM nyie wanyonge na mtayasema yote ya unyonge wenu aotaji ajira na kadhalika na tuko nyuma yenu ingawa CCM wanawaiteni wenye wivu.. Kwa hiyo, kulingana na maneno yako yawezekana kweli mna wivu na uroho wa madaraka maanake mnasumbuliwa na inferiority complex..
 
Du kwa hl jina naona kulekule kwenye mlima mlefu afrika kwel chama kina wenyewe cjui kama kiongoz hata mmakua
munishi hili anatoka kaskazini, hakuna msukuma wala wanyakyusa
Chama cha kichaga. Naona wameamua wamempe mchaga mwenzao ukatibu.
Dah! Na hii ni Moshi pia! Hawa jamaa bwana!
kwani we ulikuwa haujui kuwa Chadema ni NGO ya kichaga.
Nilijua tu lazima awe mchaga..
Chadema bila mchaga..haiwezekani!
chanzo cha kumpinga Zitto kisa yeye sio Mchaga.

Chaema ni NGO ya kichaga.
CDM wanaboa sana mzee,
Inabidi wanachama wa CDM waamke na waseme sasa wachagga no!!
 
Back
Top Bottom