Hatimaye BAVICHA yapata Katibu Mkuu, ni Deo Munishi

Mh Regia rai yangu ni vijana hawa ni jasri?je walipata kuwa screened kwa uangalifu,na je wanauwezo wa kufanya kazi katika siasa za CCM,je wana uwezo wa kujenga hoja?je hali ya hypocricy ikoje?Tuanataka viongozi wa vijana ambao ni completey strong enough to accomodate siasa zinazoendeshwa na CCM.Kama mambo yako poa basi tuwatakie kazi njema
Ingependeza kama ungekwenda kugombea one of those nafasiz kama unaamini hawakupitia kwenye screening yenye kiwango unachokiamini.
 
Munishi namfahamu vizuri sana, ni mchapa kazi na ana uwezo mkubwa sana...alishakuwa Mbunge pale UDSM, Katibu mkuu na Makamu wa raisi TYVA kwa vipindi tofauti etc. He will do something. I have faith in him. Congrats kaka Deo..solidarity forever to peoples' power! Adios
 
Wakuu habari!

Baraza la Vijana CHADEMA(BAVICHA) hatimaye limepata Sekretariet iliyokamilika na hivyo kuwa na Uongozi uliokamilika.Kikao Cha Kamati Tendaji Cha BAVICHA kilifanyika Siku ya Jumamosi tarehe 12 Nov Mjini Dodoma.Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Wenyeviti wa BAVICHA wa Mikoa,Viongozi Vijana wa Chama Taifa,Wawakilishi Watano wa Wabunge Vijana na Wawakilishi Watano wa Madiwani Vijana.

Katika Uchaguzi huo uliokuwa na mchuano mkali,wafuatao walichaguliwa;
1. Katibu Mkuu wa Baraza hilo Bwana Deogratius Munishi
2. Naibu Katibu Mkuu Bara wa Baraza hilo Bi Esther Daffa
3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar bwana Suleiman Maabad
4. Mratibu wa Uhamasishaji au Katibu Mwenenzi wa Baraza hilo Bwana Rafiki Rufunga
5. Mwekahazina wa Baraza Bwana Mrisho Ramadhani

Mbali na Uchaguzi huo Kikao hicho pia kilijadili Hali ya Siasa nchini na mambo mengineyo.

Aluta Continua.

Deo atafanya vyema, sina shaka na utendaji kazi wake!
 
Asante sana kwa taarifa. Ila bado nakushauri muombe radhi Wiliam Malecela, umemkosea heshima tena hadharani yeye pamoja na wazazi wake wote wawili.
 
wewe Regia pole sana mama...hicho ni kiini macho hao wachaga wachache akina mbowe wamemuweka huyo Mushi kw malengo yao hao wengne hakuna kitu pale...wachaga kweli noma ndio mana mwl aliwakataa. yule Heche aliye wekwa pale ni ziro kabisa, kwanza hana elimu anapelekeshwa tu...toa upupu wako hapa...
 
CDM wanaboa sana mzee,
Inabidi wanachama wa CDM waamke na waseme sasa wachagga no!!

hawawezi kuamka, ni mateka wa Mbowe. Hawawezi kufikiria nje ya mduara uliozungushwa na Mbowe.

Nawapa pole sana.
 
Back
Top Bottom