babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,092
- 15,986
sometime ukiwa na hasira ukitaka kutukana unasahau hayo matusiJamani msiwe negative ( - hasi ) kiasi hicho – si kitu kizuri. Hapa wengi wenu mnakosoa tu na wengine mnaleta chuki za kibaguzi. Sikuona hata mtu mmoja amekuja na fikra tofauti ya kuboresha hiyo bajaj.
Mimi naona hii ni fikra nzuri ya kuanzia na baada ya matumizi utapatikana uzoefu wa kuboresha. Wote tunajua kuwa kitu muhimu sana katika uzimishaji wa moto ni kuwahi kufika na kuushambuliya. Hii bajaj itaweza kupita kwenya barabara finyu , Kufatana na bei yake nafuu zinaweza kutapakazwa sehemu mbali mbali vitongojini na kuweza kufika kwa haraka sehemu yenye moto.
Huu ndio uwezo wetu wa sasa na hii technologia ndio jawabu kwa hali yetu ya kipesa na kimakazi . tusiangaliwe wale wenye mabarabara mapana na magari makubwa ya zimamoto.
Kuwa negative sana ni kinyume na spirit of great thinkers.
wamekupa bei gani mkuu?