Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Afu wameivalia hiyo bajaji suti, tai na nguo nyingine rasmi. Ha ha ha ha ha!
Ngoja tusubiri bajaji ijayo itakuwa maalum kwa ajili ya nini?? mi nahisi watabuni bajaji mfano wa trekta...
Mkubwa mzima Pinda anashangaa kitu cha kitoto sijui ninini hicho!...Tangu lini bajaji ikawa zima moto jamani?
Hivi vidudud ni kama vile vya kubebea wajawazito, nadhani aliyewasupply vile ndo huyohuyo kaleta na hivi tena!
Amewashika masikio hawafurukuti!..Ashagundua kuwa ni mazezeta wote!...my hairs!
inawezekana kabisa manake si unamuona kiongozi wa nchi mzee pinda amesimama anakagua gari la zimamoto,sijui mtoto gani litakuwa linazima hiliUsd 9600..
Mkuu hii sio gari wala sio pikipiki ni unidentifiable moving object... ref: kesi ya chenge!!!
mkuu sasa dawa ya nini?The pinnacle of mediocrity. Shame !
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua Bajaj ambayo imetengenezwa ili kumudu kazi ya kuzima moto hasa kwenye maeneo yenye barabara nyembamba katika maonesho yaliyoandaliwa na Kampuni ya Spray and Fumigation Services Limited, bungeni Dodoma Alhamisi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).