Hatimaye arusha tech watoa shortlist kazi kwenu wadau

I'm sure kama wangekuwa wanawaghalamikia malazi, chakula na usafiri wasingeita watu 108 kwa post moja. Kuita watu wengi kiasi hiki kwa post moja inaashiria
1. Kupata wigo mpana wa interviwers kuomba rushwa kwa interviwees
2. Ku-justfy kupokea allowances kwasababu watatumia siku nyingi kuwamaliza interviwers
3. Kuwanyanyapaa Interviwees

Kwa nafasi moja walitakiwa waitwe interviwers < 10.

Nchi hii inaendeshwa kwa UJINGA UJINGA kuanzia politicians hadi wasomi.
 
Back
Top Bottom