Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

Huyu msanii anaugonjwa fulani wa kiakili unaitwa Attention Seeking Disorder, ndio unaomsumbua sana.

Siku zote ataendelea kufanya vituko ili mradi avute attention za watu.
Kwa mfano: alianza kukaa uchi fiesta, kisha akaja kuomba radhi ''kisaniisanii'', leo anatoa picha kaolewa, kesho atadai kaachika, keshokutwa atadai ana mimba, then mimba imeharibika, then atajaribu kujiua kwa kunywa sumu, mwisho utasikia kaokoka..........

*Watu mnaompenda huyu dada anzeni kumsaidia kumrekebisha sasa, kabla mambo hayajawa mabaya zaidi huko mbele ya safari.

Kule kwingine tunatofautiana, lakini hapa kwa huyu dada na kwa hii comment yako umenichekesha sana hadi nimekupa LIKE
 
Iwapo huko Shinyanga na Mwanza wachawi wanachinjwa, hivi ni kwa nini na huyu huyu mshirikina asipigwe kiberiti hadharani???
 
mkuu sijui umepata wap haya uliyoyaandika tena ukionesha uhakika?ktk uislam inaruhusiwa kuoa kwa niaba ya mtu mwingine,ila ni kuoa tu baada ya hapo hurusiwi lolote mana yule c mkeo bali wa huyo uliemuolelea.pia ndoa c lazma ifungwe na sheik,sheikh hupewa idhini ya kufungisha na walii wa bint.
Bado Utetezi wako haujibu
utata uliopo hapo. Hicho kitu Ni cha kisaniii kabisa.

*Cheti cha ndoa lazima kisainiwe na wahusika wote wawili yaani mke na
mume mwenyewe na sio kwa niaba.
Picha inamwonyesha mwanamke pekee.

*Kwenye uislam hakuna kitu kinachoitwa kuoa kwa niaba ya mtu mwingine.
Zipo mila za makabila fulani ndio zina hicho kitu lakini sio kwenye
uislam wala kiserikali.

*Yote kwa yote, mbona upande wa waoaji hatuuoni hapo, yaani huo
''uwakilishi wa
mwanaume'' kama ulivyodai? Yaani hata upande wa mwanamke(Mzazi wa kiume)
na Sheikh(Ustaadh) anayefungisha ndoa hawapo hapo!!
 
Imefika wakati watu kuchukua sheria mkononi. Jk na serkali yaje haiwezi kulinda amani.
Kama wewe ni mwananchi, una haki kisheria kulinda amani na kutetea.
Farid anatkiwa auawe yeye na ponda. Kuwapiga risasi tu hawa. Wasituchafulie amani yetu na watu wetu.
 
lazima wamkamate wakamuunganishe na ponda kwa kesi ya uchochezi huyu, subir utaona

enzi zile tulivyokuwa na serikali wangefanya hivyo,lakini hili genge la washangaa makasri hawana lolote.
 
Nadhani 'wana-usalama' waliomkamata waliongozwa na Ramadhani Ighondu. 'Rama' hawezi kumn'goa meno Farid, ila angekuwa kakamatwa Steven, lol. Sasa ni wakati muafaka wa Wakristo kujilinda wenyewe!
 
Pumbavu wangemuua kabisa gaidi mkubwa huyo

Usilolijua sawa na usiku wa kiza

Iwapo huko Shinyanga na Mwanza wachawi wanachinjwa, hivi ni kwa nini na huyu huyu mshirikina asipigwe kiberiti hadharani???

Wewe unashindwa nini kufanya hivyo...

Nadhani 'wana-usalama' waliomkamata waliongozwa na Ramadhani Ighondu. 'Rama' hawezi kumn'goa meno Farid, ila angekuwa kakamatwa Steven, lol. Sasa ni wakati muafaka wa Wakristo kujilinda wenyewe!

Ushabiki una hasara na faida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom