Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

kama petrol itakuwa ishamwagiwa maji. Haiwezi kusukuma vehicle. Kova anaweza kubadilishwa kituo kwenye hii filamu. Kumbuka taarifa za mwanzo zilidai kwamba wale askari wamefanya mission iwe impossible coz the victim is alive,so inabidi wawe punished..kova nae hawezi kuruka hapa. Note my words.
 
Ye mwenyewe siku anatangaza kukamatwa kwa JOSHUA alikuwa kichaa sababu hakujua alichokuwa akiongea.
 
UKITAKA KUJUA ATHARI ZA SINEMA ZA KIHINDI KURATIBIWA NA UONGOZI WA KI-CHINA BASI KAMUULIZE ALHAJI AFANDE SELE PALE 'MAMBO YA NDANI' NA JINSI GANI ALIVYOLITIA KOVU LA KUDUMU JESHI LA POLISI

Kwa akili tu ya kawaida, busara zinatuamrisha ya kwamba pindi tunapoinuia kutengeneza sinema ama yaa Kihindi, Kimang'ati au hata ya Kichina, ni vema tukawapa nafasi watu wenye ufahamu mzuri na tamaduni za mahali husika wakatusaidia kuratibu mambo.

Ajabu na kweli ni kwamba katika jaribio la kumchukua uhai Dk Ulimboka, majina ambayo yatokea kutajwatajwa yametokea kuwa ni wa upande fulani tu. Madai ya Uhalifu huo ni wao, Uchunguzi ni wao, Usemaji ni wao, na hata Uratibu mzima bado ni wao tu.

Hakika hili kidogo linatatiza kwa kuwa jeshi letu la polisi sote tunajua halina dini lakini kwa mwenendo huu wa mara Abeid wa Ikulu, Ahmed Msangi wa Kanda Maalum, Selemani Kova kubwa lao, Saed Mwema ambaye ndiye Back-stopper hapo -- mmmmmmhhhh!!!

Japo ni jambo ambalo halisemwi wazi wazi na wengi LAKINI mmmhhhhh!!! Kwa nini na kwani kuna nini??? Siku zote Matokeo ya mambo kama haya, pengine ni ajali tu imetokea hadi hapo, mwisho wa siku huleta taswira kama vile ya Picha ya KIHINDI kuratibiwa vile na WACHINA.

Mtu akiangalia ki-undani,
pale kwenye ONYESHO LA PILI, jinsi gani ka-Gwajima (Mkristo) na Joshua (nalo jina la kikristo ila mbebaji wa jina hilo HATUNA UHAKIKA na dini yake mpaka atakapotuthibitishia kwa kinywa chake mwenyewe) wanavyovutwa kwa nguvu zote kuwa sehemu ya mchezo katika filamu hii - yote yanayojitokeza ni VITUKO VYA KARNE katika historia ya mambo ya kipolisi duniani kote.

Kwa watazamaji wapya wa picha hii ya '
KOVA KATIKA MABAWA YA MABADILIKO YA NGUVU YA UMMA NCHINI TANZANIA', kwa kukumbushia tu, ONYESHO LA KWANZA ilianzia pale Leaders' Club na kuishia Mabwepande Tegeta na walioonekana mwishoni mwa picha ile ni Mama Kijo Bishimba, Mzee Mwanakijiji, Mjeruhiwa Dk Ulimboka pamoja na wanakijiji katika yale mandhari asili ya MabwePande.

Sababu ya kusema hivyo ni kwamba Alhaji Afande Sele (Kanda Maalum Jijini Dar), kwa kosa moja tu la kutokufahamu desturi na taratibu za madhehebu ya ki-Kristo ki-ajali kabisa kajikuta AMEUNGUZA PICHA ZIMA kwa kudai kwamba mgeni wake Joshua Muyungi alienda na AKATUBU katika kanisa la Nabii Mkuu na Askofu Gwajima juu ya uhusika wake kwenye jaribio la kumua Dr Ulimboka. Hii ndio maana kila wanapojaribu kuunganisha picha hizo mbili hali inaendelea tu kuwa kama mafuta ya taa na maji kwenye maabara zetu za kibongo hizi.

Ukweli wa mambo ni kwamba mbali na Kanisa Katoliki ambako watu hujichagulia kwenda kwa Padre na kutubu dhambi zao, madhehebu mengine yote ya ki-Kristo hayana utaratibu huo. Lakini kwa kuwa Alhaji alikua anatafuta MNOGO WA PICHA YENYEWE ndio hapo maini yakaingia nyongo.

Kama bado tu mtu hajashtuka kitu hdi hapo, hivi watu bado tu hamjiulizi kwa nini
ONYESHO LA TATU (linalotegemewa kuwa ndefu sana mpaka hadhira kujikuta wachapa tu usingizi badala ya kuendelea kufwatilia picha) la filamu ilivyoanza kwaa usiri mkubwa katika mahakama ya Kisutu na kwamba wahusika wote huko wakawa ni WATU WA KUFIKIRIKA tu huku wengine wakidaiwa kuwasili tu kutoka katika taifa la KUSADIKIKA ('nimewasili na bado ninaendelea kuwazoea').

Mpaka hapa wala mtu hahitaji kutngaziwa kwamba kwele Alhaj Afande Kova kalitia kovu chombo hiki, tulichopata kukiamini na kukithamini sana miaka hiyo, kwa namna ambayo itachukua miaka kuturudisha imani sisi Umma wa Tanzania.

Sasa kilichobaki pengine ni wahusika wkuu wa filamu hii warudi tena mezani ili waje na ubunifu mwingine maana huu wa sasa ndio kama hivo umekwishagonga mwamba.

Umeweka sawa kabisa, japo hata hao wakatoliki hawatubu kwa Padre. wanatubu kwa Mungu mbele ya shahidi ambaye ni Padre. Tena hata huyo shahidi hawezi kushuhudia toba au maungamo ya mtu binafsi ! uko sawa kabisa maelezo yako.

Mungu atuhurumie kuwa chini ya makanda kama Kova ni janga na IGP Mwema ni janga la kitaifa
 
Mbona hamuweki picha yake au mnaogopa nitamtambua, pengine ni kama jamaa aliyejitokeza na kudai ni mmiliki wa Dowan Mr. Aliadawi
 
Kama kova alikua amechagua kamati yakuchunguza hiki kitu kwanini yeye atangaze na si kamati alio ichagua
Inaonyesha kua ile kamati haina chakufanya

Kuna maswali mengi ambayo hayana majibu

Kwani Kamati ile ishaundwa? ina wajumbe gani zaidi ya Ahmed Msangi?
 
Jeshi "lao" wananchi au jeshi lao "CCM"? Lingejitambua kuwa ni la wananchi lisingekuwa linawatendea wananchi linavyowatendea!! with a sense of contempt!
 
UKITAKA KUJUA ATHARI ZA SINEMA ZA KIHINDI KURATIBIWA NA UONGOZI WA KI-CHINA BASI KAMUULIZE ALHAJI AFANDE SELE PALE 'MAMBO YA NDANI' NA JINSI GANI ALIVYOLITIA KOVU LA KUDUMU JESHI LA POLISI

Kwa akili tu ya kawaida, busara zinatuamrisha ya kwamba pindi tunapoinuia kutengeneza sinema ama yaa Kihindi, Kimang'ati au hata ya Kichina, ni vema tukawapa nafasi watu wenye ufahamu mzuri na tamaduni za mahali husika wakatusaidia kuratibu mambo.

Ajabu na kweli ni kwamba katika jaribio la kumchukua uhai Dk Ulimboka, majina ambayo yatokea kutajwatajwa yametokea kuwa ni wa upande fulani tu. Madai ya Uhalifu huo ni wao, Uchunguzi ni wao, Usemaji ni wao, na hata Uratibu mzima bado ni wao tu.

Hakika hili kidogo linatatiza kwa kuwa jeshi letu la polisi sote tunajua halina dini lakini kwa mwenendo huu wa mara Abeid wa Ikulu, Ahmed Msangi wa Kanda Maalum, Selemani Kova kubwa lao, Saed Mwema ambaye ndiye Back-stopper hapo -- mmmmmmhhhh!!!

Japo ni jambo ambalo halisemwi wazi wazi na wengi LAKINI mmmhhhhh!!! Kwa nini na kwani kuna nini??? Siku zote Matokeo ya mambo kama haya, pengine ni ajali tu imetokea hadi hapo, mwisho wa siku huleta taswira kama vile ya Picha ya KIHINDI kuratibiwa vile na WACHINA.

Mtu akiangalia ki-undani,
pale kwenye ONYESHO LA PILI, jinsi gani ka-Gwajima (Mkristo) na Joshua (nalo jina la kikristo ila mbebaji wa jina hilo HATUNA UHAKIKA na dini yake mpaka atakapotuthibitishia kwa kinywa chake mwenyewe) wanavyovutwa kwa nguvu zote kuwa sehemu ya mchezo katika filamu hii - yote yanayojitokeza ni VITUKO VYA KARNE katika historia ya mambo ya kipolisi duniani kote.

Kwa watazamaji wapya wa picha hii ya '
KOVA KATIKA MABAWA YA MABADILIKO YA NGUVU YA UMMA NCHINI TANZANIA', kwa kukumbushia tu, ONYESHO LA KWANZA ilianzia pale Leaders' Club na kuishia Mabwepande Tegeta na walioonekana mwishoni mwa picha ile ni Mama Kijo Bishimba, Mzee Mwanakijiji, Mjeruhiwa Dk Ulimboka pamoja na wanakijiji katika yale mandhari asili ya MabwePande.

Sababu ya kusema hivyo ni kwamba Alhaji Afande Sele (Kanda Maalum Jijini Dar), kwa kosa moja tu la kutokufahamu desturi na taratibu za madhehebu ya ki-Kristo ki-ajali kabisa kajikuta AMEUNGUZA PICHA ZIMA kwa kudai kwamba mgeni wake Joshua Muyungi alienda na AKATUBU katika kanisa la Nabii Mkuu na Askofu Gwajima juu ya uhusika wake kwenye jaribio la kumua Dr Ulimboka. Hii ndio maana kila wanapojaribu kuunganisha picha hizo mbili hali inaendelea tu kuwa kama mafuta ya taa na maji kwenye maabara zetu za kibongo hizi.

Ukweli wa mambo ni kwamba mbali na Kanisa Katoliki ambako watu hujichagulia kwenda kwa Padre na kutubu dhambi zao, madhehebu mengine yote ya ki-Kristo hayana utaratibu huo. Lakini kwa kuwa Alhaji alikua anatafuta MNOGO WA PICHA YENYEWE ndio hapo maini yakaingia nyongo.

Kama bado tu mtu hajashtuka kitu hdi hapo, hivi watu bado tu hamjiulizi kwa nini
ONYESHO LA TATU (linalotegemewa kuwa ndefu sana mpaka hadhira kujikuta wachapa tu usingizi badala ya kuendelea kufwatilia picha) la filamu ilivyoanza kwaa usiri mkubwa katika mahakama ya Kisutu na kwamba wahusika wote huko wakawa ni WATU WA KUFIKIRIKA tu huku wengine wakidaiwa kuwasili tu kutoka katika taifa la KUSADIKIKA ('nimewasili na bado ninaendelea kuwazoea').

Mpaka hapa wala mtu hahitaji kutngaziwa kwamba kwele Alhaj Afande Kova kalitia kovu chombo hiki, tulichopata kukiamini na kukithamini sana miaka hiyo, kwa namna ambayo itachukua miaka kuturudisha imani sisi Umma wa Tanzania.

Sasa kilichobaki pengine ni wahusika wkuu wa filamu hii warudi tena mezani ili waje na ubunifu mwingine maana huu wa sasa ndio kama hivo umekwishagonga mwamba.

Nimeipenda sana.
 
.........................

Mie nadhani huu ushauri unatoka kwa Kikwete mwenyewe..

Polisi hawawezi kuwa wajinga kiasi!!!

Lazima kuna mtu asiekuwa na taaluma hiyo anawasukuma nyuma ku act juu ya jambo hili...

Aibu gani hii!! mie naogopa hata kutembea tembea siku hizi!

Nchi kakabidhiwa c.h.i.z.i.!! anaweza kuamua kutumaliza wote!!

.
 
1. Serikali haina mihili mitatu, nchi ndio yenye mihili mitatu.

2. Gerald, nchi haiendeshwi kwa mazoea, bali huendeshwa kwa kufuata Katiba, sheria na kanuni zinazotungwa kisheria, ndio maana Kova alisema in a very sweeping and general statement, bila hata supporting legislation kuwa hairuhusiwi kuongelea suala la Mkenya, which is wrong.

3. Wananchi tuna haki ya kujadili, Kova asizungumzie vitu asivyovijua. Wanaharakati jitokezeni kututetea wananchi tupate haki yetu ya kupata habari.

Mkuu nimekupata sasa taabu hapa wenye ufahaamu waweze kutufafanulia kua;

1. Tuna uwezo wa kuyajadili maswala yote yalipo mahakamani na kwa kutumia vifungu vipi? bila kukiuka sheria.
2. Wanaharakati kutusaidia pia inawezekana cha msingi ni kujua je ili swala linaweza kupata mijadala nje ya mahakama? hii itasaidia madoctor kujadili kwa kina kwenye midahalo pindi ulimboka atakapokua tz na wasiwasi wakampa onyo la kutotoa ushaidi wowote nje ya mahakama na hapa ndipo sisi wananchi tutakaposhindwa kujua ukweli.

Movie inakaribia kuisha amini hili saga limefikia ukingoni mwanzoni kuna mtu alileta movie number one kuwa wangechukuliwa wafungwa then wabambikwe kesi then wakimbilie mahakamani na ndipo mchezo ungekua umemalizika ila baada ya movie yao kushtukiwa wakaandaa movie ingine na hii kwa haraka wakakimbilia mahakamani bila hata ya wananchi kujua mtuhumiwa ni nani picha yake, kesi yake iliudhuriwa na kina nani ukizingatia kesi kama hii ingepata wanahabari, wanasheria, madoctor na wananch wengi.
Ujiulizi ni nani aliyehudhuria hii kesi? Na hatma yake kova kuconclude mjadala wa ulimboka umekwisha anayetaka maelezo ni mahakama pekee ndio inayojukumu binafsi mimi naona alikua anatafuta wapi pa kulitua hili zigo so mpaka hapo ameshamaliza kazi yake. Sisi tuanza part 2 je mahakama itafanyaje?
 
Du kwa kova sina muda wa kusema lolote kwa DHAIFU hii. But mkuu uliesema KOVA kasoma UPE as if unaidharau siyo vema maana hii Universal Primary Education ilitufanya wote tukasoma bila hata ada, huku tunapewa madaftari na kalamu, na chakula bure!!! Leo hii watoto wetu ukiachia wale wa Academy wanatakiwa kununua kila kitu including uji wa 200 kila siku, ulinzi wa shule eti 200 kwa mwezi, hela ya tuition ya kulazimisha 300 kwa siku na mtihani wa kununua wa kufanya kila jumamosi na unalipiwa 1,000 ambao inasemekana mradi wa mratibu elimu kata na waalim. Mwisho wa siku wanamaliza hawajui kusoma na wanapelekwa secondary za kata kwa DIV 0 baada ya miaka minne and no future for them.Thanks to UPE, it made me who I am today!!!!
 
Hivi kwanini lakini serikali haitaki kuwaruhusu Chadema waunde tume huru ya uchunguzi wa hii issue?

Serikali yenyewe inalitambua hili suala A to Z na wamelipanga wenyewe ktk kulitelekeza alafu wakubali CDM ilichunguze si wataendelea kuumbuka na kufa kifo kibaya zaidi hapo 2015
 
Chama kilichokufa kinaanzisha gutter politics, bt wamekumbuka shuka asubuhi its of no use, so let them wake up.

  • :sleepy:
 
Mkuu nimekupata sasa taabu hapa wenye ufahaamu waweze kutufafanulia kua;

1. Tuna uwezo wa kuyajadili maswala yote yalipo mahakamani na kwa kutumia vifungu vipi? bila kukiuka sheria.
2. Wanaharakati kutusaidia pia inawezekana cha msingi ni kujua je ili swala linaweza kupata mijadala nje ya mahakama? hii itasaidia madoctor kujadili kwa kina kwenye midahalo pindi ulimboka atakapokua tz na wasiwasi wakampa onyo la kutotoa ushaidi wowote nje ya mahakama na hapa ndipo sisi wananchi tutakaposhindwa kujua ukweli.

Movie inakaribia kuisha amini hili saga limefikia ukingoni mwanzoni kuna mtu alileta movie number one kuwa wangechukuliwa wafungwa then wabambikwe kesi then wakimbilie mahakamani na ndipo mchezo ungekua umemalizika ila baada ya movie yao kushtukiwa wakaandaa movie ingine na hii kwa haraka wakakimbilia mahakamani bila hata ya wananchi kujua mtuhumiwa ni nani picha yake, kesi yake iliudhuriwa na kina nani ukizingatia kesi kama hii ingepata wanahabari, wanasheria, madoctor na wananch wengi.
Ujiulizi ni nani aliyehudhuria hii kesi? Na hatma yake kova kuconclude mjadala wa ulimboka umekwisha anayetaka maelezo ni mahakama pekee ndio inayojukumu binafsi mimi naona alikua anatafuta wapi pa kulitua hili zigo so mpaka hapo ameshamaliza kazi yake. Sisi tuanza part 2 je mahakama itafanyaje?

Kama katiba inaturuhusu hakuna, narudia hakuna, anayeweza kutuzuia tukitaka hizo taarifa. Kama kuna sheria inayozuia sisi kupewa taarifa na kutoa fikra zetu basi sheria hiyo inakinzana na sheria na hivyo nisheria batili.

Gerald, kuuuita huu udikteta movie, ni kubilittle, umuhimu wa suala zima, tulipe hili suala mtazamo wa kisheria na kikatiba zaidi. Tusichukulie kama movie no, no please this is a serious issue.
 
wel said.mchungaji kaumbua.Na makanisa kova aliyoyawekea uongo kachemsha hata kama watamshinikiza mchungaji picha imeharibika.Haya makanisa huwa yanalaani sana toba kupitia binadamu.Kova sijui anatafuta nini katika TV hku akijua kwa fikra, kwa matendo na hata kwa SURA yake hayupo presentable.Anongea kama taahira.

Wanatangazia taifa ujinga kuhusu silaha za kivita kushikwa dar zimepitaje mipaka yote bila inteligensia yao kuwa aware?HAwa jamaa wamekuwa na tabia ya kudhalilisha sana ukristu huku wakiwa waislam, wameanza na madawa ya kulevya, wamekuja hii scandle ay dr. Uli wameanza mamabo ya sadaka kama alivyojiingiza kwa nguvu rostam.Huku wakishangilia uamsho.

CCM imekufa vibaya.
 
Back
Top Bottom