mkuu wengine tunaiheshimu UPE wewe unaidhihaki?Wawe na imani na mabwepoliccm plus tiss? Ana maana hiyo?Karukwa na akili huyo, wa tz wa sasa siyo wa enzi za upe!
Ngambo Ngali.
Hapa ndio katiba mpya inapotakiwa kubadilisha hii tabia mimi sio mtaalamu sana wa sheria ila navyoujua serikali ina mihimili mitatu bunge, mahakama na dola sasa hapa kila kimoja kinasheria zake na miongozo yake so, kwa uzoefu swala likishakua mahakamani uwezi kulijadili tena hata kama wananchi wakitaka kulijadili bado litakua limevunje sheria za nchi so mtalijadili wapi? Pia hata ulimboka akirudi atalijadili wapi? Either avunje sheria ya nchi kujadili jambo lilipo mahakamani.
Wanasheria mnisaidie. Hivi mtuhumiwa kama akidhaniwa ni kichaa anapandishwa moja kwa moja kizimbani, au anafanyiwa uchunguzi kwanza na daktari, na akionekana ni mzima wa kuweza kujibu mashtaka ndio anapandishwa mahakamani?
mkuu wengine tunaiheshimu UPE wewe unaidhihaki?
Nimemuona Kova anasema kuwa taarifa za awali alizozitoa huyo mkenya bado anazipa uzito. hadi hapo madaktari watakapothibitsha kuwa huyo mtuhumiwa ni chizi.
dcp sulemani kova amesemani hataki malumbano na mchungaji gwajima kuhusiana na mtu aliyemteka dr. olimboka,
akiongea na waandishi wa habari leo hii amesema kuwa wananchi waendelee kuwa na imani na jeshi lao
Harrison Mwakyembe alishatusaidia kuonyesha jinsi jeshi letu lilivyokosa dira na linavyotumika kwa maslahi ya baadhi ya watudcp sulemani kova amesemani hataki malumbano na mchungaji gwajima kuhusiana na mtu aliyemteka dr. olimboka,
akiongea na waandishi wa habari leo hii amesema kuwa wananchi waendelee kuwa na imani na jeshi lao
Hakika jmushi1 - Ni upepo, utapita!Siyo kwamba hawajui kudanganya,hawaoni umuhimu wa kutumia sophisticated means kwasababu wanawadharau sana wananchi.Wanaona hakuna haja ya kutumia hizo efforts na wanauhakika litapita tu kwasbabu watanzania wengi wanasubiri hadi siku ya kiama ndo wauwaji waadhibiwe na mungu.