Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

Ni vigumu kuamin ama kukubali kwa haya aliofanyiwa mwenzetu! Ni mateso yasio na kifani kwa wale wenzetu wakristo nafikiri haya mateso ya Dr Ulimboka wanaweza kuyafananisha na yale ya Yesu kwa sababu kumng'oa binabamu mwenzio viungo vyake kwa kutumia koleo ni unyama usio na kifani ! Najiuliza na kila nikifikiria nashindwa kupata jibu la hayo maumivu na isitoshe inasemekana japo sina uhakika na haya ya kwamba pia walimhasi na wakajua ya kwamba wameshaua ila naimani na ninaamin mungu anasababu nae na ndo maana hakuitoa roho yake kwa kuwa ana jambo la kuongea na watanzania kwani saa ya kuonewa na kudhulumiwa haki yetu sasa imekwisha.
Hata kama mtu ni mjinga kiasi gan ? Mkenya anahusika nin na sakata la madokta wa tanzania wakati ni ishu ya serikal na wao na ni kwa sababu ya kudai haki zao za msingi ikiwemo maslah na mazingira ya kufanyia kazi ?
Tunashukuru kusikia ya kwamba serikali ya kenya nao wameamua kulifatilia hili jambo na kuujua ukweli na si kupumbazwa kama ilivyozoeleka kwa serikali ya tz na itakuwa vizuri watu kuujua ukweli !!! Kuna mwanamziki mmoja aliimba you can fool people for sometime but not all the time sasa haya maneno kwa watanzania yanakwenda kutimia soon nchi inajifanya ina Aman ila hali imejaa mauaji ya kutisha unyanyasaji usio na kifani kwa sababu ya madaraka tuu sasa imefika kwa hao mabepari na wanyonyaji wa nchi hiii.
Ni vizuri dini zote watu wakaungana na kuliweka hili katika maombi hasa wakati huu wa mwezi mtukufu tukaungana wote na wenzetu kufunga na kusali kwa kupitia viongozi wa din zote na nina hakika mwenyezi Mungu atasikia kilio cha watanzania haiwezekani kumfanyia binadamu mwenzako unyama wa namna hiii
Hii ni kuonyesha nchi hii inatawalika kwa ubabe Mr Sugu alisema bungeni hali kama hii ni mambo ya Janjaweed ukiangalia nchi kwa Rwanda,Sudan Eritrea Congo hali hii ilianza hivi hivi mwishoe waliingia kwenye disaster ambayo iliwakosti wengi ila viongozi jueni walikuwepo watawala wenye mabavu kuliko nyie na walijulikana sana dunian lakin leo hii wako wap? Sadaam ,Ghadaffi,Maboutu!Jonasi savimbi hawa ni baadhi ya hao waliojiona dunia ni ya kwao wewe jeee nawasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!
 
-ni kwa nini polisi walipuuza taarifa za awali kuusu kutokea kwa vurugu,,vuongozi wa chadema waliokuwa kwenye mkutano wanadai walitoa taaraifa mapema,,au tuamini kuwa mwigulu aliwazuia..
-na pia kwa nini wanachama wa chadema ndio wakamatwe ili hali viongozi wa chadema ndio waliokuwa na rbanyika leo
-nasikia mazishi yamefanyila leo,je mwigulu kashiriki?maana anadai kaumia sana
mytake:wananchi tusitumiwe na chama kinachokufa sivyo tutakufa sisi
 
Si mbaya haki za binadamu waingilie kati kwa serikali kumuweka rumande mwehu/kichaa
Hiyo n kweli kabisa toka lini kichaa akafunguliwa kesi au kwann mmtangaze m2 ambaye hamjampima akili na mkiwa mnahisi hana akili? Lol! Kova kwa hili umeunguza
 
Hii inchi sijui tunapekekwa wapi! Jamaa hataki watu waongelee issue ya Dr Ulimboka sababu tu kichaa yupo rumande!!
 
Imekuwa ni vitu na ngonjera za polisa na askofu gwajima..kweli ukitaka kujua ukweli leo kova katoa ukweli kila binadamu ana kichaa ila kuna kichaa cha muda muda.....kichaa ni kichaa tu..hakuna cha muda wala masaa...kova anatupa ngonjera za kisanii...
 
Wawe na imani na mabwepoliccm plus tiss? Ana maana hiyo?Karukwa na akili huyo, wa tz wa sasa siyo wa enzi za upe!
 
kwa kifupi kova hana mvuto kwa sasa yeye alie tu amekosea picha imeungua kazi kwake makengeza yanazidi kila kukicha.pole kova.
 
These words come out of the mouth of an angry man! Watch out you magamba people.

Ndidani
kuna tatizo mtu akipata hasira? au akihuzunika? au akifurahi kama kuna sababu za kufanya hivyo?
All these are emotions that are triggered by either external or internal stimuli,AM happy as i respond to stimuli,physiologically ok!!!
sasa wewe jambo linalo kuudhi,hukasiriki,linalo kufurahisha haufurahii,linalo kuhuzunisha wala hau huzuniki, I think u suffer from personality disorder...polee.

by the way you have to stop rebelling me as Magamba,though ts futile to convince your skeptics.
your fanatical political view should not ends in this premature labeling of folks
watch out
 
dcp sulemani kova amesemani hataki malumbano na mchungaji gwajima kuhusiana na mtu aliyemteka dr. olimboka,
akiongea na waandishi wa habari leo hii amesema kuwa wananchi waendelee kuwa na imani na jeshi lao

Mtanzania yeyote mwenye akili timamu hawezi kamwe kuwa na hata chembe ya imanii na hilo so called jeshi la polisi.
 
Ati siku hizi TISS ni idara ya uhasama wa taifa, sio usalama na polisi ni wanauhasama! Kazi kwelikweli!
 
Kwa hiyo hata yale matokea ya uchunguzi wa awali ilikuwa ni ukichaa kichaa..
 
Nimemuona Kova anasema kuwa taarifa za awali alizozitoa huyo mkenya bado anazipa uzito. hadi hapo madaktari watakapothibitsha kuwa huyo mtuhumiwa ni chizi.
 
Nimependa ujumbe mzuri wananchi tusikubwali kufa na chama cha mabwepande wanakupeni pombe na tishirt mkafanye vurugu wao wapo salama na familia zao, mwigulu unanuksi kwani jimbo umebinafsishwa mpaka hutaki mtu mwingine afanyemkutano? mbona ccm mnajidanganya hivyo???/
 
Wanasheria mnisaidie. Hivi mtuhumiwa kama akidhaniwa ni kichaa anapandishwa moja kwa moja kizimbani, au anafanyiwa uchunguzi kwanza na daktari, na akionekana ni mzima wa kuweza kujibu mashtaka ndio anapandishwa mahakamani?
 
Yeye angejibu mapigo kwa Mchungaji, na siyo kusema hivyo tu! Kwani alipokuja kwa mbwembwe na kumtangaza yule mtuhumiwa hakuwa na habari kamili? Hii haingii akilini kabisa!
 
Ati siku hizi TISS ni idara ya uhasama wa taifa, sio usalama na polisi ni wanauhasama! Kazi kwelikweli!
 
Back
Top Bottom