Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

Kilichofanyika ni kuongeza idadi ya vyama na si kupata chama bora. Kama miongoni mwa vyama vilivyopo hawakuona cha kuwafaa unategemea wao wanakuja na jipya gani.

Aaah! Watu wengine mnachefua, eti kuongeza idadi ya vyama......watu hata hawajaanda mshikemshike ushahukumu acheni hizo chadomo! Kama mnaziamini Hofu ya nini?
 
Karibuni sana katika uwanja wa kupigwa risasi za moto na mabomu ya machozi, labda muwe chama D.

Bravo ADC. Hii ni ile CCM bora aliyetabiri Mwalimu ambayo itajinasua kwenye MGAMBA. Je Mafisadi watakimbilia huko?
 
Hicho chama kweli ni mitambo kama wewe ndio wamekupa kazi ya kueneza na unaweka andiko dhaifu hivyo kweli mnayo! karibuni sana.

Jina ulilotumia tu linaonyesha umtambo wako na wewe. POMPO?!!
 
kama vp itisheni mkutano KIDONGO CHEKUNDU,mkipata watu 200 narejesha kadi ya chadema nakuja kwenu.

Tulikua Starlight tar.24-08-2012 katika zoezi la UHAKIKI WA wanachama wadhamini Mkoa WA Dar ES Salaam na kulikua na wanachama zaidi ya 800 ambapo ilibidi wengine wabaki nje na kuingia kuhakikiwa kwa zamu, sasa Ndugu yangu Dalai Lama unazungumzia watu 200 tu? Kama tunashindwa kupiga MKUTANO WA hadhara wenye angalau watu 3000 katika viwanja kama Jangwani na Kidongo Chekundu kama sio Mwembe Yanga (tmk) si bora tuachane tu na hizo Siasa zenyewe. Hatujaja kubipu hapa...oohooooo!
 
nimekutajia KIDONGO CHEKUNDU coz kaka zenu wa mama mmoja wanapenda ila hawaujazi..jangwani hamna uwezo nyie.ivi si mngekwenda TADEA ama mna tamaa ya uchairman
 
Katiba yetu ya Jamhuri inatoa uhuru huu WA mawazo, Sasa umeutumia vp uhuru wako Hilo ndio suala la kuhoji na pia kumuwezesha MTU ajue Kama unastahili kuwekwa katika kundi gani.
Hiyo tamaa ya uChairman imetokea wapi tena? Nani kakwambia anataka uChairman? Na Uchairman huo unaouongelea ni upi! Mbona mnakua na woga hivyo ilhali watu bado hata hatujalianzisha rasmi?
ADC - DIRA ya Mabadiliko
 
Leo Jumanne tar.28-08-2012 majira ya saa4 hivi za ASUBUHI chama chetu cha ADC kilichojizolea umaarufu mkubwa katika Nyanja za Siasa NCHINI Tanzania hata Kabla ya kuanza rasmi kazi za kisiasa, kimefanikiwa kupata usajili WA kudumu baada ya kukamilisha zoezi la UHAKIKI katika mikoa kumi (10).

Mikoa iliyohakikiwa na ofisi ya Msajili WA vyama vya Siasa CHINI ya MHE. john Tendwa ni pamoja na Tanga, Mwanza, Pemba, Mara, Unguja, Tabora, Dodoma, Lindi, Mtwara na Dar ES Salaam ambapo chama kilifanikiwa kuvuka idadi iliyo kuwa inahitajika na ofisi ya Msajili ya wanachama wadhamini 200 kwa kila Mkoa.

Tukio hili la kihistoria linaashiria mwanzo WA Harakati za chama cha ADC katika duru la Siasa NCHINI Tanzania, Kama ambavyo moja kati ya Madhumuni yake kuwa (1) Kushika dola kwa njia halali na za kidemokrasia.
Akizungumza na waandishi WA Habari mara baada ya kukabidhiwa HATI ya Usajili Mwenyekiti WA ADC TAIFA MHE. Said Miraji alinukuliwa akielezea furaha Yao ya kukamilisha sehemu ya kwanza na nyeti ya kupata usajili WA kudumu na Leo hii katika Hotel ya Lamada Ilala chama kinafanya MKUTANO MKUU WA KWANZA KAMA CHAMA RASMI CHA SIASA ambapo watapata fursa ya kupitisha Katiba ya chama pamoja na Kuchagua viongozi WA Kitaifa WA chama.
GOD BLESS ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE.

ADC - DIRA ya Mtanzania.

Note: Kwa picha na Habari zaidi nitawaletea soon.

Mbona Bendera yenu inafanana na ya CHADEMA? mnaiga sio?
 
Mheshimiwa Rashid Hamad (Mweye chama) atakuwepo hapo Lamada? ama ndiyo bado anafanya unafiki? Kwani tunajua yeye ndiye mwenye chama na nyie wengine wote ni watumishi tu.
 
Back
Top Bottom